IQNA

Nuskha za Qur'ani zilizoandikwa kwa mkono katika Jumba la Makumbusho la Khorassan

Jumba la Makumbusho la Khorassan, liko katika Bustani ya Kuh Sangi mjini Mashhad (kaskazini mashariki mwa Iran) lina hazina yenye thamani ya nuskha za Qur'ani zilizoandikwa kwa mkono katika karne mbali mbali.