Tarehe 13 Rajab inasadifiana na siku ya kuzaliwa Amirul Muuminiin Ali bin Abi Talib AS mmoja kati ya Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Muhammad SAW.
2014 May 13 , 17:03
Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeikosoa Saudi Arabia kwa kutokomesha hali ya kutisha ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo.
2013 Oct 27 , 10:22
Kiongozi Muadhamu wa mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Imam Ali Khamenei amesema kuwa Amekosoa mtazamo wa Magharibi kuhusu suala la mwanamke na kusisitiza kuwa: Mtazamo wa Uislamu kuhusu haki za kijamii na za mtu binafsi za mwanamke na mwanaume ndio wenye mantiki zaidi, imara zaidi na wa kielimu zaidi.
2013 May 02 , 10:48
Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran amekosoa vikali tuzo ya Oscar kutunukiwa filamu ya ARGO ambayo imetayarishwa huko Hollywood dhidi ya taifa la Iran.
2013 Feb 26 , 10:06
Makundi ya wanaharakati wanaopinga dini nchini Marekani ambayo yamekhitari sekta ya filamu kama wenzo wa kufikia malengo yao yameendeleza sera zao za kuwavunjia heshima Mitume wa Mwenyezi Mungu kwa kuanza kutangaza filamu mpya iliyopewa jina la "DJesus Uncrossed" (Masih Hakusulubiwa).
2013 Feb 23 , 18:08
Kundi la Mawahabi la Saudi Arabia limeondoa picha ya kuba ya Msikiti wa Mtume (saw) katika nembo inayoutambulisha mji mtakatifu wa Madina kama mji mkuu wa kiutamaduni wa ulimwengu wa Kiislamu katika mwaka huu wa 2013.
2013 Feb 07 , 12:24
Mcheza tamthilia za kuchekesha wa Ufaransa Dieudonné M'bala M'bala amesema kuwa sekta ya utengenezaji filamu ya Marekani Hollywood ni tawi lisilokuwa la kijeshi la jeshi la Marekani na Uzayuni linalofanya kazi ya kueneza uongo na kudhihirisha mambo yalisiyokuwa na uhakika wowote.
2013 Feb 05 , 09:40
Odongo wa kaburi la Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) unaohifadhiwa katika jumba la makumbusho la Haram ya mjukuu huyo wa Mtume Muhammad (saw) ulibadilika na kuwa damu katika siku ya Ashura yaani tarehe 10 Muharram ambayo ndiyo siku aliyouawa ndani yake.
2012 Nov 27 , 19:50
Ashura ni tukio ambalo imepita miaka 1373 tokea kujiri kwake lakini si tu kuwa tukio hili la kihistoria linawavutia Waislamu bali pia wapenda uhuru kote duniani wamevutiwa na yaliyojiri katika jangwa la Karbala.
2012 Nov 25 , 16:32
Ashura ni chemchemi ambayo daima ni yenye kutoa msukumo wa harakati baina ya vizazi vya mwanadamu.
2012 Nov 25 , 16:05
Utawala wa Saudi Arabia unaendelea kuharibu turathi za Kiislamu zilizokuwa zimebakia katika mji wa kihistoria wa Madina.
2012 Oct 28 , 14:13
Wananchi wa Uingereza wanaelekea kwa wingi katika maduka ya kuuza vitabu vya Kiislamu kwa shabaha ya kutaka kuijua vyema dini tukufu ya Uislamu baada ya kuonyeshwa filamu inayomvunjia heshima Mtume wa Mwenyezi Mungu Muhammad (saw).
2012 Sep 23 , 15:20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Imam Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewashukuru washindi walioliletea taifa medali katika mashindano ya Paralympic yaliyomalizika jana mjini London, Uingereza.
2012 Sep 10 , 16:31