Magaidi wa Kitakfiri au Kiwahabbi ambao wanajifanya kuwa Waislamu sasa wanatekeleza jinai katika maeneo mbali mbali ya dunia kwa lengo la kuuharibia jina Uislamu. Hayo yamedokezwa na Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib.
2014 May 15 , 12:10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, iwapo taifa la Iran litajikita katika kuimarisha uwezo wa ndani ya nchi, basi Marekani na madola mengine makubwa hayawezi kuthubutu kufanya chochote dhidi ya nchi hii.
2014 May 14 , 22:58
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja makundi ya kitakfiri kuwa ni hatari kwa Waislamu wote, wawe Waislamu wa Kishia au Waislamu wa Kisuni.
2014 May 13 , 16:49
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ni upumbavu wa mwisho wa adui kudhani kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itawekea mipaka na kikomo mipango yake ya makombora.
2014 May 12 , 15:45
Demba Ba mchezaji wa Timu ya Soka ya Chelsea katika ligi ya Premier nchini nchini Uingereza amefadhili kikamilifu ujenzi wa msikiti katika nchi yake asili, Senegal.
2014 May 10 , 18:20
Kikao cha Kwanza cha Jumuiya ya Kimatiafa ya Wafanyabiashara wa Nchi za Kiislamu kinafanyika katika kisiwa cha Kish kusini mwa Iran.
2014 May 04 , 11:18
Mwislamu aliyekuwa na umri wa miaka 65 amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na polisi wa utawala wa Mabuddha nchini Myanmar.
2014 May 03 , 16:56
Katika vipindi mbali mbali vya historia, wanafikra wameweza kunawiri katika nyuga za utamaduni na sayansi na hivyo kuwafungulia wanaadamu wengi njia ya nuru na saada.
2014 May 02 , 12:24
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwaenzi na kuwaheshimu wafanyakazi na wale wote wanaohusika katika uga wa uzalishaji ni dharura ambayo imesisitizwa na Uislamu.
2014 Apr 30 , 21:38
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za rambi rambi kufuatia kifo cha mjumbe wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi na Imam wa Sala ya Ijumaa wa Jamii ya Masunni katika mji Sanandaj magharibi mwa Iran.
2014 Apr 26 , 22:19
Algeria imetaka waandalizi wa Kombe la Soka la Dunia 2014 kuwapa nakala za Qur’ani wachezaji na maafisa wa timu yake ya taifa.
2014 Apr 26 , 22:15
Hali ya usalama katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui, inazidi kuwa mbaya huku vitendo vya mauaji dhidi ya Waislamu vikiendelea kuripotiwa.
2014 Apr 22 , 17:51
Askofu Mkuu wa zamani wa Kanisa la Anglikana nchini Afrika Kusini ametahadharisha juu ya kukaribia kutumbukia Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye mauaji ya kimbari.
2014 Apr 22 , 17:42