Masomo maalumu kwa walimu wa masomo ya Kiislamu yamepangwa kuanza nchini Ujerumani hapo kesho Jumatatu tarehe 23 Mei.
2011 May 22 , 22:25
Nurasima Haj Omar, Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Brunei amesisitiza juu ya udharura wa kutungwa na kuchapishwa vitabu vya Kiislamu kwa ajili ya kukidhi mahitaji tofauti ya jamaii ya sasa.
2011 May 22 , 22:22
Kikao cha 'Ukamilifu wa Uislamu' kimepangwa kufanyika nchini Russia mwezi ujao wa Juni.
2011 May 21 , 12:12
Abdallah Adam, Mkuu wa Elimu katika jimbo la Sarawak nchini Malaysia amesema kuwa jimbo hilo linakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu wa masomo ya Kiislamu.
2011 May 15 , 12:25
Wanawake Waislamu wanaoishi mjini London Uingereza wanapanga kushiriki katika sherehe za kuadhimisha uzawa wa binti ya Mtume Mtukufu (saw) Bibi Fatima Zahra (as) ambazo zimepangwa kufanyika katika Kituo cha Kiislamu cha London hapo tarehe 24 Mchi.
2011 May 15 , 12:20
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO itatoa msaada wa kifedha kwa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Niger ikiwa ni katika fremu ya shughuli zake za kufadhili miradi ya pamoja ya Kiislamu.
2011 May 14 , 12:42
Taasisi ya Al Itrah yenye makao yake Dar-es-Salaam Tanzania imechapisha tarjumi ya Kiswahili ya kitabu chenye anwani ya Ahlulbayt AS Ndani ya Tafsiri za Kisuni.
2011 May 12 , 12:14
Ayatullah Khamenei amesema ni muhali kuweza kupatikana maendeleo nchini bila ya kuwepo ustawi katika sekta ya vitabu na kuongeza kuwa Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu, taasisi za serikali na watu wenye ari wanapaswa kutoa umuhimu mkubwa kwa maudhui ya kitabu na kufuatilia kwa bidii uandishi wa vitabu.
2011 May 11 , 21:31
Toleo la kwanza la jarida la elekroniki la Taqrib Madhahib limezinduliwa na Taasisi ya Donner ya Finland.
2011 May 09 , 17:07
Toleo la kwanza la jarida la elekroniki la Taqrib Madhahib limezinduliwa na Taasisi ya Donner ya nchini Finland.
2011 May 09 , 12:53
Kituo cha kwanza kabisa cha Kiislamu chenye msikiti, kituo cha Kiislamu na jumba la makumbusho kinajengwa katika mji mkuu wa Albania, Tirana kwa lengo la kuimarisha urafiki na uhusiano kati ya wafuasi wa dini mbalimbali.
2011 May 08 , 16:02
Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni ISESCO limechapisha kitabu kipya kwa lugha ya Kiarabu chenye anwani ya “Vyuo vya Kitiba katika Ustaarabu wa Kiislamu”.
2011 May 08 , 14:12
Chuo cha Masuala ya Kidini na Utafiti wa Kiislamu kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Sharja katika Umoja wa Falame za Kiarabu kimeandaa kikao cha 'Nafasi ya Wakfu katika Harakati ya Kielimu ya Kiislamu' ambacho kimepangwa kufanyika tarehe 19 baadaye mwezi huu.
2011 May 05 , 13:02