Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajli ya wanawake yamefanyika Ijumaa hii katika Shule ya Kiislamu ya Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mkoani Kivu Kusini.
2015 Jul 19 , 01:54
Kikao cha kimataifa cha qiraa ya Qur'ani Tukufu imefanyika mjini Cape Town, Afrika Kusini na kuhudhuriwa na maqarii kutoka Misri, Iraq, Sudan na Malaysia.
2015 Jul 16 , 17:35
Iran itashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Sudan.
2015 Jul 14 , 12:26
Tamasha la Kimataifa ya Qur’ani linafanyika Moscow mji mkuu wa Russia kwa mara ya kwanza kabisa.
2015 Jul 13 , 15:24
Awamu ya 23 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran yanamalizika Jumanne hii.
2015 Jul 13 , 14:55
Taasisi mbili za Uturuki zinashirikiana kusambaza nakala milioni za Qur’ani Tukufu katika nchi kadhaa za Kiafrika.
2015 Jul 13 , 14:38
Taasisi ya Dar-ul-Qur’an na Sunnah katika Ukanda wa Ghaza imewaenzi wakaazi 1000 wa eneo hilo walio hifadhi Qur’ani kikamilifu.
2015 Jul 07 , 17:17
Kituo cha Utamaduni cha Iran Uganda kinatoa mafunzo maalumu kwa walumu wa Qur’ani katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
2015 Jul 01 , 00:47
Qatar imeandaa maonyesho kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu na mafanikio ya wanasayansi Waislamu katika historia.
2015 Jun 25 , 16:40
Maoneysho ya 23 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamefunguliwa rasmi Jumatano jioni katika hafla iliyohudhuriwa na Waziri wa Utamaduni wa Muongozo wa Kiislamu Iran, maafisa waandamizi wa baraza la mji wa Tehran na wana wanaharakati katika uga wa Qur'ani.
2015 Jun 25 , 16:01
Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Dubai yameanza Jumatano hii usiku katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
2015 Jun 24 , 20:36
Maqari 12 kutoka Misri watashiriki katika majlisi na vikao vya kusoma Qur'ani Tukufu nchini Iran katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
2015 Jun 22 , 07:59
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema maqari na wasomaji wanaweza kusisitiza mara kadhaa juu ya baadhi ya maneno ya kitabu hicho kitukufu katika usomaji wao.
2015 Jun 19 , 12:20