Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema maqari na wasomaji wanaweza kusisitiza mara kadhaa juu ya baadhi ya maneno ya kitabu hicho kitukufu katika usomaji wao.
2015 Jun 19 , 12:20
Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yatafunguliwa katika siku za awali za mtukufu wa Ramadhani katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
2015 Jun 16 , 14:11
Mohsen Haji-Hassani Kargar aliyewakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kupata nafasi ya kwanza katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia ameashiria nafasi na hadhi ya juu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu katika Jamhuri ya Kiislamu.
2015 Jun 15 , 10:02
Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia amesema maqarii au wasomaji wa Qur'ani Tukufu ni wahubiri wa Uislamu na wanapaswa kuendeleza malengo ya Qur'ani.
2015 Jun 15 , 08:09
Mohsen Haji-Hassani Kargar wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameibuka mshindi katika kitengo cha qiraa cha Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Malaysia.
2015 Jun 15 , 07:56
Watu 183 waliosilimu na wanaoishi Qatar wamejisajilisha kushiriki katika mashindano ya kitaifa ya Qur’ani katika nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
2015 Jun 13 , 18:20
Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Kampala, Uganda kinashirikiana na Televisheni ya kitaifa ya nchi hiyo UBC TV katika kutayarisha pamoja vipindi vya Qur'ani na vya maudhui za kidini.
2015 Jun 09 , 14:57
Wanafunzi wa madrassah za mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam wameshiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur'ani katika Masjid Hudaa eneo la Mbagala.
2015 May 27 , 13:49
Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imekamilika na washindi kutangazwa huku wawakilishi wa nchi za Afrika wamefanya vizuri katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
2015 May 22 , 06:08
Wanawake wasomi na wanaharakati wa Qur'ani Tukufu wameenziwa pembizoni mwa Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
2015 May 21 , 15:25
Mwakilishi wa Saudi Arabia katika Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ameyataja mashindano hayo kuwa nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu.
2015 May 21 , 14:46
Hafidh wa Qur'ani kutoka Nigeria
'Nyumba yangu ni Madrassah ya Qur'ani na tokea utotoni nimekuwa nikijifunza Qur'ani na nilianza kuihifadhi nikiwa na umri wa miaka 14' anasema Hafidh wa Qur'ani kutoka nchini Nigeria.
2015 May 21 , 14:36
Washiri kadhaa wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran ametembelea Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, siku ya Jumapili.
2015 May 18 , 07:37