Kundi la Waislamu wa mji wa Buffalo katika jimbo la New York huko Marekani imewagawia wananchi wa mji huo mashada ya maua yenye semi na maneno ya Mitume wa dini za mbinguni.
2014 Oct 14 , 20:04
Mwanamke Mwislamu mwenye umri wa miaka 27 ameteuliwa kuwa waziri wa elimu nchini Sweden na hivyo kumfanya kuwa waziri wa kwanza Mwislamu katika nchi hiyo ya Ulaya.
2014 Oct 12 , 21:12
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Bangladesh Abdul Latif Siddique amefukuzwa kazi kwa kuvunjia heshima ibada ya Hija na Mtume Muhammad (saw).
2014 Oct 03 , 20:46
Mahujaji takribani milioni tatu wa Nyumba Tukufu ya Allah SWT leo Ijumaa wameanza kutekeleza ibada ya Hijja, ambapo jana usiku walianza kukusanyika katika viwanja vya Arafa nje ya mji mtukufu wa Makka.
2014 Oct 03 , 12:45
Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Hija amesema kuwa, kwa vile kiwango cha mwelekeo na hamu juu ya dini ya Kiislamu imeongezeka barani Ulaya, viongozi wa bara hilo wanaamini kwamba Uislamu utaweza kulikamata bara hilo katika siku za usoni.
2014 Sep 30 , 22:28
Mahakama moja ya Kenya imetoa uamuzi wa kupiga marufuku vazi la Hijabu katika shule moja nchini humo jambo ambalo limewakasirisha sana Waislamu wakiwemo wazazi na wanazuoni wa Kiislamu ambao wameitaja hukumu hiyo kuwa ni hatua nyuma katika uhuru wa kuabudu nchini humo.
2014 Sep 29 , 23:17
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetaka washtakiwe wakuu wa kijeshi na kisiasa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutenda jinai dhidi ya binadamu.
2014 Sep 28 , 20:53
Shirikisho la Mpira wa Kikapu Duniani (FIBA) limetangaza mpango wa kuangalia upya sheria inayopiga marufuku vazi la hijabu katika michezo ya kimataifa.
2014 Sep 28 , 20:43
Wizara ya Afya ya Saudi Arabia imeanzisha kampeni maalumu ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola katika kipindi hiki cha kuanza msimu wa Hija.
2014 Sep 16 , 19:25
Maulamaa na wanazuoni wanaoshiriki katika Kongamano la Kimataifa la 'Maulamaa wa Kiislamu Wanaounga Mkono Harakati ya Muqawama ya Wapalestina leo wamekwenda hospitalini hapa Tehran kumjulia hali Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
2014 Sep 10 , 21:38
Mufti Mkuu wa Misri, Shawki Ibrahim Abdel Karim Allam amesema kuwa, ni haramu kuunga mkono makundi ya kigaidi.
2014 Sep 08 , 16:15
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa makundi ya takfiri katika kipindi cha sasa ni miongoni mwa nyenzo zinazotumiwa na maadui wa Uislamu kwa ajili ya kuzusha hitilafu baina ya Waislamu na kuwagombanisha wao kwa wao ili waghafilike na kadhia ya Palestina na wahudumie maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
2014 Sep 08 , 16:10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil-Udhmaa Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, mabadiliko yanayojiri hivi sasa yanatokana na kubadilika mfumo uliokuwa umeasisiwa na Wamagharibi wa Ulaya na Marekani, na kujitokeza mfumo mpya.
2014 Sep 06 , 06:52