Kongamano la 27 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu, limehitimisha shughuli zake kwa kutolewa mada kuu 20. .
2014 Jan 21 , 13:51
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, leo hii umoja na mshikamano, ndio mambo yenye umuhimu mkubwa zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu.
2014 Jan 21 , 13:49
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, hakuna wakati ambao taifa hili lilisalimu amri mbele ya vitisho na mabavu ya mabeberu na kwamba, katu halitafanya hivyo.
2014 Jan 18 , 09:21
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya kibeberu yangali yanafanya njama za kuzusha hitilafu na mifarakano katika ulimwengu wa Kiislamu.
2014 Jan 18 , 09:20
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema vikwazo havijaweza kibadilisha sera za Jamhuri ya Kiislamu. Amongeza kuwa ni kosa kudhani kuwa Iran imeamua kubadilisha sera zake kutokana vikwazo ilivyowekewa.
2014 Jan 14 , 09:13
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema ni aibu kuwa waziri mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel Ariel Sharon amekufa pasina kufikishwa kizimbani kujibu mashtaka ya kuhusika na mauaji ya kinyama ya Sabra na Shatila.
2014 Jan 14 , 09:12
Khatibu wa sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran huko Geneva inapasa kuwa makini na kwamba inapasa kuendelea na mazungumzo hayo ya nyuklia na kundi la 5+1 katika kalibu ya kuhifadhiwa maslahi ya taifa la Iran.
2014 Jan 11 , 10:45
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.
2014 Jan 11 , 10:40
Viongozi wa Waislamu na Wakristo huko Jamhuri ya Afrika ya Kati wameungana ili kuzuia kuuliwa raia nchini humo.
2013 Dec 30 , 11:21
Watu watano wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa huko Misri katika mapigano yaliyozuka kati ya askari usalama na wafuasi wa Mohamed Morsi Rais halali wa nchi hiyo aliyepinduliwa na jeshi mwezi Julai mwaka huu.
2013 Dec 29 , 09:09
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mripuko wa kigaidi uliotokea huko Beirut mji mkuu wa Lebanon.
2013 Dec 29 , 09:00
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya kinyama ya nchi kavu na anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Ghaza.
2013 Dec 28 , 09:12
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtuma ujumbe wa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis I na Wakristo wote kwa mnasaba wa kuwadia siku ya kukumbuka kuzaliwa Nabi Issa Masih AS na kuwadia mwaka mpya Miladia.
2013 Dec 28 , 09:09