Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtuma ujumbe wa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis I na Wakristo wote kwa mnasaba wa kuwadia siku ya kukumbuka kuzaliwa Nabi Issa Masih AS na kuwadia mwaka mpya Miladia.
2013 Dec 28 , 09:09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu wajibu wa kuwepo jitihada zenye ubunifu katika kukabiliana na hujuma ya kiutamaduni.
2013 Dec 11 , 08:24
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mebainisha kuwa, moja ya matatizo makubwa uliyo nayo ulimwengu wa Kiislamu hivi sasa ni matatizo ya kutwishwa, ya makusudi, ya kikhabithi na yenye lengo la kuwasha moto wa hitilafu na mizozo katika umma wa Kiislamu na kushadidisha ugomvi wa kimadhehebu kati ya Waislamu.
2013 Nov 13 , 14:30
Mfalme wa Brunei amesema sheria za Kiislamu zitaanza kutekelezwa katika mahakama za nchi hiyo hivi karibuni.
2013 Oct 22 , 21:30
Sheikh Mkuu wa al al Azhar nchini Misri amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililofanywa na watu wasiojulikana dhidi ya kanisa la al Adh'raa katika wilaya ya Giza.
2013 Oct 21 , 17:08
Ayatullah Khamenei amesema kuwa moja ya masuala hatari sana katika eneo hili ni kuingizwa masuala ya kidini, kimadhehebu na kikaumu katika hitilafu za kisiasa za nchi mbalimbali. Ameongeza kuwa, inasikitisha kuona kwamba, nchi kadhaa za eneo hili zimesaidia kuanzisha kundi linalowakufurisha Waislamu linalopigana na makundi yote ya Waislamu, lakini waungaji mkono wa kundi hilo wanapaswa kuelewa kwamba, moto wake utawakumba wao pia.
2013 Aug 26 , 19:46
Waislamu wa madhehebu ya Shia katika maeneo mbalimbali duniani jana tarehe 8 Shawwal walikumba tukio chungu la kuvunjwa na kubomolewa makaburi ya watoto, wajukuu, wake na masabaha wa Mtume (saw) huko Baqii katika mji mtakatifu wa Madina.
2013 Aug 17 , 22:06
Jina la Mtume wa Uislamu, Muhammad (saw) limeongoza kwa kupewa idadi kubwa zaidi ya watoto wa kiume waliozaliwa katika mji mkuu wa Uingereza, London katika mwaka 2012.
2013 Aug 17 , 21:07
Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetoa ripoti ikiukosoa utawala haramu wa Israel kwa kuamiliana vibaya na watoto wadogo wa Kipalestina.
2013 Jun 23 , 11:55
Kamati ya Sheria ya Bunge la Ulaya imeunga mkono suala la kufutwa kinga ya kisheria ya kiongozi wa chama cha Harakati ya Kitaifa cha Ufaransa (Front National (FN)) Marine Le Pen kwa sababu ya kuwadunisha Waislamu.
2013 Jun 23 , 11:54
Kiongozi wa chama cha al Dustur nchini Misri Muhammad al Baradei amesema kuwa utawala unaowadhalilisha wapinzani na kuwaita wafuasi wa madhehebu ya Shia kuwa ni najisi unapaswa kung'olewa madarakani.
2013 Jun 17 , 18:56
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu:
Imam Ayatullah Khamenei ameashiria tukio chungu na la kusikitisha la kuvunjiwa heshima kaburi la Sahaba wa Mtume (saw) Hujr bin Adi (ra) huko Syria na akasisitiza kuwa: Waislamu hususan wasomi na shakhsia wa kielimu, kisiasa na kidini katika ulimwengu wa Kiislamu wanawajibika kukabiliana na fikra hizi chafu na kuzuia kuenea moto wa fitina.
2013 May 06 , 22:59
Timu ya soka ya Newcastle United ya Uingereza inayoshiriki ligi ya Premia nchini humo imewaandalia chumba maalumu cha kusalia wachezaji wake Waislamu katika uwanja wa mpira wa timu hiyo.
2013 Apr 06 , 17:40