Wafuasi wa dini mbalimbali wamekusanyika mbele ya msikiti wa mji wa Ontario katika jimbo la California huko marekani ambao wiki iliyopita ulishambuliwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
2012 Aug 15 , 16:03
Mashirika ya Kiislamu yasiyo ya serikali ya nchi wanachama katika jumuiya ya ASEAN yameanzisha muungano kwa ajili ya kuwasaidia Waislamu wa Myanmar na kutatua matatizo yao.
2012 Aug 15 , 16:03
Kadiri siku ya uchaguzi wa rais wa Marekani inavyozidi kukaribia Waislamu nchini humo wamekuwa wakikabiliwa na wimbi jipya la fikra na hotuba zinazopiga vita dini na matukufu yao.
2012 Aug 13 , 11:13
Kiongozi mashuhudi wa kidini nchini Ufaransa Sheikh Sankoh Muhammadi ambaye aliwahi kuwa mufti mkuu wa nchi hiyo amewataka Waislamu kuto duniani kuwa na umoja na mshikamano.
2012 Aug 05 , 17:05
Khatibu wa sala ya Ijumaa mjini Tehran, Ayatullah Ahmad Jannati amesema kuwa, lengo la mashinikizo na njama za Magharibi na baadhi ya nchi za eneo hili la Mashariki ya Kati dhidi ya serikali ya Syria ni kulinda uwepo wa Uzayuni na kuiondoa Damascus katika uwanja wa kuunga mkono muqawama wa Palestina.
2012 Aug 04 , 16:46
Waislamu wanne raia wa Ufaransa waliokuwa wakitoa mafunzo katika kambi ya watoto wamefutwa kazi kwa sababu ya kufunga saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2012 Aug 01 , 17:09
Makundi mbalimbali ya vijana wa Jordan jana usiku yalikusanyika mbele ya Wizara ya Wakfu ya nchi hiyo na kutangaza upinzani wao dhidi ya wito uliotolewa na utawala ghasibu wa Israel wa kushambuliwa Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
2012 Jul 30 , 16:07
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu yatullah Ali Khamenei leo alasiri amehutubia hadhara ya wahakiki, wachunguzi, wataalamu, wavumbuzi wa nyanja mbalimbali za sayansi na teknolojia, makampuni yanayozalisha bidhaa kwa kutegemea sayansi na teknolojia na vituo vya elimu akisema kuwa elimu ni rasilimali isiyoisha kwa ajili ya nchi hii.
2012 Jul 30 , 12:32
Baada ya kukamilika ujenzi wa Kituo cha Kiislamu cha mji wa Augusta katika jimbo la Georgia nchini Marekani, kituo hicho sasa kimepangwa kufunguliwa rasmi siku ya Idul Fitr.
2012 Jul 28 , 17:23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alasiri ya leo (Jumanne) amehutubia hadhara ya viongozi na maafisa wa mfumo wa Kiislamu hapa nchini na kusema kuwa siri ya harakati inayosonga mbele kwa kasi ya taifa na utawala wa Kiislamu hapa nchini katika kipindi cha miaka 32 iliyopita ni kuweka mbele malengo aali sambamba na kutilia maanani uhakika wa mambo.
2012 Jul 26 , 13:56
Mkutano wa kimataifa wa kuchunguza mauaji ya halaiki yanayofanywa dhidi y Waislamu wa Ruhigya nchini Myanmar unatazamiwa kufanyika tarehe 14 Agosti ukihudhuriwa na wanachama wa jumuiya hiyo ya mataifa ya Kusini mashariki mwa Asia (ASEAN).
2012 Jul 23 , 18:01
Mkuu wa Baraza la Waislamu nchini Ufaransa Muhammad Mussawi amekutana na Rais wa nchi hiyo Francois Hollande mjini Paris.
2012 Jul 21 , 22:45
Mwambata wa Kiutamaduni wa Iran nchini Zimbabwe amesisitiza juu ya nafasi muhimu ya misikiti katika kuimarisha umoja wa Waislamu.
2012 Jul 21 , 14:49