Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamemei mapema leo amekutana na kuhutubia Baraza la Wataalamu wanaomchagua kiongozi wa juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo amesema nchi hii kwa ujumla inapiga hatua nzuri za maendeleo.
2012 Sep 07 , 23:13
Waislamu wa mji wa Ottawa nchini Canada hawana haki ya kusikia sauti ya adhama licha ya mji huo mkuu wa Canada kuwa na misikiti 8.
2012 Sep 05 , 21:53
Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha Lebanon ameeleza kuwa, ufumbuzi wa kisiasa na kufanyika mazungumzo kati ya serikali ya Syria na wapinzani ndiyo njia ya busara ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo.
2012 Sep 04 , 18:22
Askari usalama wa Saudi Arabia wametawanya mandamano ya wapinzani wa serikali ya nchi hiyo kwa kuwafyatuliar isasi hai.
2012 Aug 29 , 14:55
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Palestina imetangaza kuwa serikali ya Misri imesema itafungua kikamilifu kivuko cha mpakani cha Rafah na kwamba kivuko hicho kitakuwa wazi katika siku zote za wiki isipokuwa Ijumaa.
2012 Aug 27 , 14:17
Mawahabi wenye misimamo mikali Jumamosi iliyopita walivamia na kuvunja makaburi na Msikiti wa al Shiab mjini Tripoli.
2012 Aug 27 , 14:17
Maulamaa na wasomi wa Tunisia wametahadharisha juu ya uwekezaji wa nchi za Qatar na Saudi Arabia katika kueneza fikra za Kiwahabi nchini Tunisia na wamewataka wananchi kuwa macho mbele ya hatari ya kutumbukia katika vita vya kimadhehebu.
2012 Aug 22 , 23:23
Ayatullah Khamenei katika hotuba za swala ya Idi:
Siku ya leo ya Idul Fitr, idi ya wampwekeshao Mwenyezi Mungu, Iran imeghiriki katika nuru na uja huku wananchi wa jiji la Tehran wakishiriki kwa wingi katika ibada ya swala ya Idi iliyoongozwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei.
2012 Aug 20 , 16:17
Taasisi moja isiyo ya serikali katika mji wa Fukuoka nchini Japan imetangaza kuwa itafanya maonyesho ya kwanza ya bidhaa halali nchini humo mwezi Januari mwakani.
2012 Aug 18 , 18:50
Kwa mara ya kwanza Waislamu wa Uingereza wanatarajiwa kunufaika na mfumo wa fedha wa Kiislamu katika miamala yao ya kifedha na kibiashara.
2012 Aug 16 , 12:47
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni kabisa, mji wa Yiwu mashariki mwa China ndio ulio na jamii ya Waislamu inayokuwa kwa kasi kubwa zaidi nchini humo.
2012 Aug 16 , 12:38
Swala ya Idul Fitr imepangwa kuswaliwa Shawwal Mosi katika Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (as) mjini Vienna, Austria.
2012 Aug 15 , 18:46
Wafuasi wa dini mbalimbali wamekusanyika mbele ya msikiti wa mji wa Ontario katika jimbo la California huko marekani ambao wiki iliyopita ulishambuliwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
2012 Aug 15 , 16:03