Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano ameonana na wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) na kusema kuwa, bunge linapaswa kuwa na sifa zote za kulifanya kuwa bunge hai katika kazi zake na katika kutekeleza majukumu yake muhimu na ya kimsingi kama ambavyo linapaswa pia kuwa Bunge salama lenye nishati ya hali ya juu katika vipengee mbali mbali vya kisiasa, kimaadili na kifedha.
2012 Jun 14 , 14:40
Timu ya chama cha Kiislamu cha an Nahdha katika Baraza la Kitaifa la Waasi nchini Tunisia limetaka kuwekwe kifungu kinachoainisha adhabu ya watu wanaovunjia heshima matukufu ya kidini katika katiba mpya ya nchi hiyo.
2012 Jun 14 , 13:52
Semina ya 'Nafasi ya Wanawake wa Kiislamu katika Kurekebisha Jamii' ilifanyika jana Jumatatu katika mji wa Buchi nchini Nigeria ambapo wanawake wa Kishia walishiriki.
2012 Jun 12 , 17:18
Kongamao la 'Uhuishaji wa Thamani za Kiislamu na Kidini' lilifanyika siku ya Jumamosi huko katika ziara la Chora Sharif mwanairfani mashuhuri wa Pakistan katika mji wa Sialkot katika jumbo la Punjab nchini humo.
2012 Jun 05 , 18:03
Wakizungumza siku ya Jumapili huko Moscow, mji mkuu wa Russia, katika kongamano la kimataifa la 'Mafundisho ya Kiislamu katika Kupambana na Misimamo ya Kupindukia Mipaka,' wanazuoni na wanafikra wa Kiislamu wamekosoa na kulaani utumiaji mabavu na fikra za kupindukia mipaka kidini ulimwenguni.
2012 May 29 , 17:13
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Amnesty International limeutaka utawala wa Saudi Arabia uwaachilie huru wafungwa ambao wanazuiliwa kutokana na kushiriki katika maandamano ya amani katika mkowa wa mashariki nchini humo.
2012 May 28 , 12:27
Siku ya Kuenziwa wanamke ilifanyika Ijumaa iliyopita huko Antananarivo mji mkuu wa Madagascar kwa isimamizi wa Jamiatul Mustafa (saw) al-Alamiya.
2012 May 21 , 18:01
Sherehe maalumu ziliandaliwa na Jamiatul Mustafa (saw) katika madrasa ya Imam Swadiq katika mji mkuu wa Madagascar Antananarivo (as) hapo siku ya Jumamosi kwa lengo la kuwavisha vilemba wanafunzi waliohitimu masomo yao ya kidini.
2012 May 21 , 18:01
Mkuu wa Jumuiya ya Wamiliki wa Mahoteli na Mikahawa ya Kitalii mjini Karbala ametaka kuchaguliwa mji huo mtakatifu kuwa mji mkuu wa utalii wa Kiislamu mwaka 2015.
2012 May 21 , 18:00
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO limechapisha tolea la 13 la jarida lake la utafiti wa kisayansi.
2012 May 17 , 16:33
Waislamu wa eneo la mji wa Zaria nchini Nigeria wamesherehekea uzawa wa Bibi Fatma az-Zahra (as) binti ya Mtume Mtukufu (saw) kwa muda wa siku tatu mfululizo.
2012 May 15 , 18:28
Kibali cha kujengwa shule ya Kiislamu itakayotoa mafunzo kwa wanafunzi wa masomo ya msingi huko Brussels mji mkuu wa Ubelgiji kimetolewa na wakuu wa nchi hiyo.
2012 May 15 , 18:27
Sherehe za kuadhimisha uzawa wa Imam Ali (as) zimepangwa kufanyika Juni Nne inayosadifiana na tarehe 13 Rajab katika Kituo cha Kiislamu huko London nchini Uingereza.
2012 May 15 , 18:27