Kongamano la Kimataifa kuhusu ‘Dini na Utandawazi’ limefanyika kati ya Novemba 22-23 nchini Algeria mjini Algiers.
2011 Nov 23 , 16:41
Mjumbe wa UN nchini Iraq:
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Martin Kobler amesema kuwa lengo la kukutana kwake na kiongozi mkuu wa kidini wa Iraq Ayatullah Ali Sistani ni kutaka kupata nasaha na miongozo yake.
2011 Nov 22 , 17:11
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Martin Kobler amezuru Haram ya Imam Ali bin Abi Twalib (as) katika mji mtakatifu wa Najaf nchini humo.
2011 Nov 21 , 17:48
Askari wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia leo wamewashambulia kwa risasi raia wa madhehebu ya Shia wa eneo la Qatif na kumjeruhi vibaya mmoja miongoni mwao.
2011 Nov 19 , 16:57
Mamia ya Waislamu wa jiji la New York nchini Marekani waliandamana jana wakipinga harakati za kijasusi zinazofanywa na polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia Waislamu.
2011 Nov 19 , 16:08
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maulamaa wa Kusini mwa Iraq:
Ofisi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maulamaa wa Ahlusunna huko kusini mwa Iraq imetoa taarifa ikilaani hatua ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ya kusimamisha uanachama wa Syria katika jumuiya hiyo na kusema, jumuiya hiyo inawaunga mkono vibaraka na watu wenye misimamo ya kupindukia.
2011 Nov 16 , 19:20
Ghadir ni siku ambayo Bwana Mtume Muhammad SAW aliwakusanya pamoja maelfu ya Waislamu ambapo baadhi ya wanahistoria wanasema kuwa walifika Waislamu laki moja na 20 elfu ambao walikuwa wanarejea makwao kutoka katika amali tukufu ya Hija.
2011 Nov 14 , 18:01
Serikali ya Algeria imekataa uamuzi uliochukuliwa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ambayo imezitaka nchi zote wanachama kuwarejesha nyumbani mabalozi wao walioko nchini Syria.
2011 Nov 13 , 16:59
Wanachama wa chama cha kiongozi wa zamani wa Misri Hosni Mubarak National Democratic Party (NDP) wamepigwa marufuku kushiriki katika uchaguzi ujao wa bunge.
2011 Nov 13 , 11:36
Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imelitaka Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kutekeleza wajibu wake wa kulinda maeneo matukufu na turathi za Waislamu wa Palestina mbele ya mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel.
2011 Nov 13 , 11:35
Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Iraq Sayyid Ammar al Hakim amesema kuwa kuondoka majeshi ya Marekani nchini humo ni chachu inayowahamasisha Wairaqi kuijenga umpya nchi yao na kulinda usalama na amani.
2011 Nov 08 , 16:11
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wawekezaji wa Kiarabu Jamal Bayyum ametoa wito wa kuundwa Jumuiya ya Uchumi wa Kiislamu kwa ushirikiano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Fiqhi ya Kiislamu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC).
2011 Nov 08 , 16:11
Vyombo vya usalama vya Iraq vimeripoti kuwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Imam Sadiq (as) nchini humo ametekwa nyara katika mkoa wa Karkuk.
2011 Nov 06 , 10:13