Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matukio ya eneo la Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika ni ushahidi wa wazi wa kushindwa siasa za mabeberu wa dunia.
2011 Oct 12 , 20:48
Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imewataka viongozi wa Misri kufanya uchunguzi huru na usiopendelea upande wowote kuhusu matukio ya eneo la Maspero mjini Cairo yaliyopelekea kuua na kujeruhiwa makumi ya waandamanaji.
2011 Oct 12 , 15:26
Rasimu ya sheria mpya ya uchaguzi ya Lebanon ilichunguzwa hapo jana Jumanne kwa kuhudhuriwa na Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapabano ya Kiislamu Hizbullah pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo.
2011 Oct 12 , 14:44
Ayatullah Sheikh Muhammad Sanad ambaye ni marjaa na mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu wa Bahrain anayeishi katika mji mtakatifu wa Najaf huko Iraq amewataka wapinzani wa utawala wa kifalme wa Bahrain waunde serikali ya wananchi kwa ajili kufikia malengo yao.
2011 Oct 11 , 21:43
Idadi kubwa ya magari ya deraya ya jeshi la Saudi Arabia imezingira kikamilifu mji wenye Waislamu wengi wa madhehebu ya Shia wa Qatif huko mashariki mwa nchi hiyo.
2011 Oct 10 , 15:41
Utawala wa Saudi Arabia umesema kuwa utawachukulia kuwa magaidi, wananchi wa nchi hiyo wanaolalamikia siasa za kiukandamizaji za utawala huo, zinazowahukumu raia katika mahakama za kijeshi.
2011 Oct 10 , 08:31
Viongozi wa Kike Waislamu watakutana tarehe 14 had 17 Oktoba katika mji kuu wa Uturuki, Istanbul.
2011 Oct 09 , 10:37
Watu elfu tatu wamekamatwa na polisi ya London, Uingereza kwa tuhuma za kushiriki katika machafuko ya mwezi Agosti mjini humo.
2011 Oct 08 , 22:15
Sheikh Saffar akijibu dharau ya khatibu wa Msikiti wa Madina:
Kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Saudi Arabia Sheikh Hassan Saffar amejibu dharau ya khatibu wa Masjidunnabi SAW kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo akisema kuwa maulamaa wa Kiwahabi wanataka kuzusha fitina za kimadhehebu.
2011 Oct 08 , 17:26
Msikiti mkubwa zaidi katika eneo la Asia ya Kati ulio na uwezo wa kubeba watu laki moja na nusu umeanza kujengwa mjini Dushanbe, mji mkuu wa Tajikistan.
2011 Oct 08 , 16:30
Ali Jumua, Mufti wa Misri alituhumiwa na baadhi ya waumini walioshiriki kwenye Swala ya Ijumaa hapo jana kuwa munafiki alipokuwa akitoa hotuba za swala hiyo.
2011 Oct 08 , 16:02
Mtaalamu wa saikolojia wa Israel amekiri kwamba Kiongozi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah alianzisha vita vikali ya kinafsi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa hotuba zake kali na uwezo wake mkubwa wa kuhutubia wakati wa vita vya pili vya Lebanon, suala ambalo lilikuwa na taathia kubwa katika ushindi wa Hizbullah dhidi ya Israel.
2011 Oct 05 , 14:50
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amekutana na maafisa wanaoshughulikia Hija mwaka huu wa Iran akiitaja ibada hiyo kuwa ni fursa ya thamani kwa ajili ya kujenga mawasiliano na umma wa Kiislamu na kujifaidisha kimaanawi na kiroho.
2011 Oct 04 , 02:20