Maonyesho ya picha nadra za kale za al-Kaaba Tukufu na maeneo mengine matakatifu ya mji mtukufu wa Makka, picha ambazo zinarejea nyuma katika historia hadi karne ya 19 Milaadia, yanaendelea katika mji wa Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2010 Nov 20 , 11:00
Maonyesho ya sita ya kimataifa ya Hija, Umra na Utalii wa Kiislamu yatafanyika tarehe 4 hadi 6 Februari katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta yakiwashirikisha wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2010 Nov 14 , 15:50
Filamu ya ‘Hijab’ itatengenezwa nchini Imarati na shirika la kutengeneza filamu la Anasy.
2010 Nov 14 , 11:55
Kitabu cha 'Mwamko wa Kiislamu katika Mtazamo wa Wamagharibi' kilichoandikwa na Muhammad Ammarah, mwandishi na mwanachama wa Jumuiya ya Utafiti wa Kiislamu ya al Azhar kimechapishwa nchini Misri.
2010 Nov 11 , 12:33
Kamusi ya istilahi za Kiislamu na Kikristo itachapishwa kwa lugha za Kituruki na Kijerumani kufikia mwaka 2012.
2010 Nov 11 , 11:28
Toleo la kwanza la jarida la kielektroniki la Thaqib limechapishwa mjini Tehran chini ya usimamizi wa sekretarieti ya Muungano wa Wanachuo wa Ulimwengu wa Kiislamu.
2010 Nov 09 , 13:35
Mashindano ya Kaligrafia ya Kiislamu yaliyofanyika katika Jumba la Makumbsho la Lok Virsa mjini Islamabad yamemalizika tarehe 8 Novemba.
2010 Nov 09 , 10:32
Maktaba ya Turathi za Vitavu vya Kiislamu ya Abu Dhabi ambayo ina nakala adimu za Qur'ani Tukufu zenye umri wa miaka 500 ilifunguliwa jana katika msikiti wa Sheikh Zayid.
2010 Nov 08 , 17:18
Mkutano wa 11 wa Baraza Kuu la Elimu, Sayansi na Utamaduni kwa ajili ya jamii za Waislamu waliowachache katika nchi mbalimbali umepangwa kufanyika mjini Rabat, Morocco.
2010 Nov 06 , 15:12
Idara ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania imetangaza kuwa itaonyesha vitabu vya kidini, kijamii na kiutamaduni katika Maonyesho ya 19 Kimataifa ya Vitabu mjini Dar-es-Salaam.
2010 Nov 06 , 14:03
Kitabu Nahjul Balagha kimefasiriwa kikamilifu kwa mara ya kwanza kwa lugha ya Kifaransa.
2010 Nov 04 , 11:20
Shirika la Sayansi, Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limewatumia barua viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel likipinga hatua ya kuorodheshwa maeneo matakatifu ya Kiislamu huko Palestina katika turathi za kiutamaduni za Mayahudi.
2010 Nov 01 , 18:26
Warsha ya kieneo itakayojadili Sura ya Wanawake katika Vipindi vya Redio za Nchi za Waislamu za kaskazini mwa Afrika inaanza leo Jumanne nchini Tunisia na kuendelea kwa kipindi cha siku tatu.
2010 Oct 26 , 13:15