Warsha ya kieneo itakayojadili Sura ya Wanawake katika Vipindi vya Redio za Nchi za Waislamu za kaskazini mwa Afrika inaanza leo Jumanne nchini Tunisia na kuendelea kwa kipindi cha siku tatu.
2010 Oct 26 , 13:15
Jumba la Makumbusho la Sanaa za Kiislamu limefunguliwa Jumatatu Oktoba 25 mjini Cario .
2010 Oct 25 , 17:20
Maonyesho ya Kimataifa ya "Sanaa ya Kaligrafia ya Kiislamu" yameanza wiki hii katika mji wa Munich nchini Ujerumani na yanatazamiwa kuendelea hadi mwezi Februari mwakani.
2010 Oct 25 , 12:06
Maonyesho ya picha yenye maudhui ya 'Misikiti ya Morocco Katika Historia' imeanza Ijumaa tarehe 22 Oktoba katika mji wa Casablanca.
2010 Oct 24 , 09:58
Maonyesho ya 'Uislamu, Ukristo na Uyahudi' yameanza tarehe 22 Oktoba katika Maktaba ya Kitaifa ya Marekani mjini New York.
2010 Oct 23 , 13:35
Kazi za kisanii na kihistoria za dini tatu za Uislamu, Ukristo na Uyahudi zitaoyeshwa katika maktaba kuu ya mji wa New York Marekani.
2010 Oct 20 , 19:36
Maonyesho ya tatu ya kimataifa ya taasisi za athari za Kiislamu za sanaa Kuwait imeandaa maonyesho ya 'Sanaa Katika Utamaduni wa Kiislamu' yaliyoanza Oktoba 19 katika mji wa Milan nchini Italia.
2010 Oct 20 , 18:35
Maonyesho ya kiutamaduni, kielimu na kisanaa ya 'Victoria Falls' ya Zimbabwe yamefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshiriki kwa upana katika maonyesho hayo.
2010 Oct 18 , 15:46
Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uingereza Ali Mohammad Hilmi ametembelea kitengo cha masomo ya Asia na Mashariki ya Kati katika Chuo Kikuu cha Cambridge na kuhudhuria maonyesho ya 'Hamasa ya Wafalme wa Iran, Sanaa ya Shahname ya Ferdowsi'.
2010 Oct 18 , 15:35
Kwa himaya ya Idara ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Istanbul, mafunzo ya majira ya mapukutiko ya ukalimani wa lugha ya Kifarsi yanatolewa katika kituo cha Jumuiya ya Waandishi wa Uturuki kitengo cha Istanbul.
2010 Oct 18 , 15:17
Maonyesho ya tatu ya kimataifa ya 'Sanaa katika Utamaduni wa Kiislamu' yatafanyika tarehe 19 Oktoba katika mji wa Milan nchini Italia.
2010 Oct 11 , 15:24
Kongamano la kieneo la 'Maandishi ya Mkono, Hali Halisi na Mustakbali' litaanza kesho tarehe 3 Oktoba katika mji mkuu wa Oman Muscat. Kongamano hilo linasimamiwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESSCO.
2010 Oct 02 , 16:19
Kongamano la nne la Sanaa ya Kiislamu la Hamad bin Khalifa limepangwa kufanyika tarehe 29 hadi 31 Okoba katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
2010 Sep 20 , 19:25