Kongamano la Sita la Wanawake katika Mazungumzo Baina ya Dini, Humburg
Kongamano la Sita la Wanawake katika Mazungumzo Baina ya Dini limefanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Ujerumani mada kuu ikiwa ni namna ibada na sala inaweza kuwakurubisha watu.