IQNA

Nakala milioni moja za Qur'ani zasambazwa katika Msikiti wa Makka msimu wa Hija

TEHRAN (IQNA)- Nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu zimesambazwa miongoni mwa Waislamu waliofika katika Msikiti wa Makka maarufu kama Masjid al-Haram...

Misikiti miwili yahujumiwa Brimingham, Uingereza

TEHRAN (IQNA)- Misikiti miwili imehujumiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza katika tukio la chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.

Qarii mashuhuri wa Misri aaga dunia

TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri, Sheikh Mahmoud Ismail Sharif, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 75.

Mwanamke wa Kwanza Mwislamu katika Bunge la Senate nchini Australia

TEHRAN (IQNA)- Muastralia mwenye asilia ya Pakistan, Bi, Mehreen Faruqi amekuwa mwanamke wa kwanza Mwislamu kuteuliwa kuwa senata katika Bunge la Senate...
Habari Maalumu
Watu 50 wauawa Yemen baada ya Saudia kudondoshea mabomu basi la watoto wa shule ya Qurani

Watu 50 wauawa Yemen baada ya Saudia kudondoshea mabomu basi la watoto wa shule ya Qurani

TEHRAN (IQNA)-Ndege za muungano vamizi wa Saudia zimeshambulia basi lililokuwa limebeba watoto ambao ni wanafunzi wa Qur’ani kati mji wa Dhahiyan wa jimbo...
10 Aug 2018, 01:29
Chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala nchini Uingereza

Chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala nchini Uingereza

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amekosolewa upya kwa kutochukua hatua za kutosha za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu...
10 Aug 2018, 01:12
Waislamu 90 Marekani wanawania viti vya uongozi

Waislamu 90 Marekani wanawania viti vya uongozi

TEHRAN (IQNA)- Waislamu zaidiya 90 nchini Marekani wanawania nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi za mitaa, jimbo na kitaifa mwaka huu.
07 Aug 2018, 15:02
Waislamu Kenya wapinga kuteuliwa balozi asiyekuwa Mwislamu kuwakilisha nchi hiyo Saudia

Waislamu Kenya wapinga kuteuliwa balozi asiyekuwa Mwislamu kuwakilisha nchi hiyo Saudia

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamepinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kumteua mwanadiplomasia asiyekuwa Mwislamu kuwa balozi wa nchi...
05 Aug 2018, 14:35
Magaidi watekeleza mauaji wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini Afghanistan,Marekani yalaumiwa

Magaidi watekeleza mauaji wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini Afghanistan,Marekani yalaumiwa

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wameushambulia msikiti wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan na kuua waumini wasiopungua...
04 Aug 2018, 17:03
Mahakama ya Uingereza yatambua sheria za Kiislamu kwa mara ya kwanza

Mahakama ya Uingereza yatambua sheria za Kiislamu kwa mara ya kwanza

TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Uingereza kwa mara ya kwanza imetambua sheria za Kiislamu baada ya kutoa hukumu ambayo imeafiki ndoa iliyofanyika kwa mujibu...
03 Aug 2018, 16:34
Malaysia yalenga kuwa nchi ya Kiislamu yenye kufuata Qur’ani, Hadithi

Malaysia yalenga kuwa nchi ya Kiislamu yenye kufuata Qur’ani, Hadithi

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Muhammad amesema nchi yake ina azma ya kuwa taifa la Kiislamu lenye kufuata mafundisho ya Qur’ani na Hadithi...
02 Aug 2018, 23:56
Idadi ya Wakenya wanaoelekea Hija yaongezeka

Idadi ya Wakenya wanaoelekea Hija yaongezeka

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Wakenya wanaoelekea Hija mwaka huu imeongezeka kwa waumini 800 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
01 Aug 2018, 12:47
Picha