Timu ya soka ya Newcastle United ya Uingereza inayoshiriki ligi ya Premia nchini humo imewaandalia chumba maalumu cha kusalia wachezaji wake Waislamu katika uwanja wa mpira wa timu hiyo.
2013 Apr 06 , 17:40
Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Saudi Arabia wamepinga vikali takwa lililotolewa na Mkurugenzi wa Mashtaka wa serikali ya nchi hiyo la kuhukumiwa kifo mwanazuoni mashuhuri wa Mashia wa nchi hiyo Sheikh Namer Al Namer ambaye ni mpinzani wa serikali ya Riyadh.
2013 Mar 30 , 17:08
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametuma ujumbe katika kongamano la "Mashahidi Elfu Saba wa Kike" akiutaja mchango wa wanawake Waislamu wa Iran katika kuonesha kigezo bora na kipya kuwa ni wa kihistoria.
2013 Mar 06 , 22:03
Afisa anayeshughulikia masuala ya dini katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa amesema kuwa idadi ya watu wanaoingia katika dini ya Uislamu imeongezeka mara dufu nchini humo katika kipindi cha miaka 25 iliyopita.
2013 Feb 18 , 19:47
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran, Ayatullah Ahmad Khatami amesema leo kuwa, pendekezo la Marekani la kutaka kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mtego uliogunduliwa kitambo sio tu na Tehran pekee bali pia na wapenda haki na uadilifu kote duniani.
2013 Feb 15 , 22:17
Kundi moja la watengenezaji filamu wa Denmark limetengeneza filamu mpya inayohujumu Uislamu na kuthibitisha tena uhasama wao dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu.
2013 Feb 14 , 12:53
Chama tawala cha African National Congress (ANC) nchini Afrika Kusini kimepitisha kwa kauli moja na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na wananchi wa Palestina za kukomboa nchi yao inayokaliwa kwa mabavu na Israel.
2012 Dec 24 , 17:02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema kuwa sharti kuu la kutekelezwa vyema mchango wa wahadhiri wa vyuo vikuu, wasomi na watu wenye vipawa kwa ajili ya harakati ya jamii kuelekea kwenye ufanisi na uokovu ni kuwa na ikhlasi, ushujaa, kuwa macho na kuchapakazi kwa bidii.
2012 Dec 11 , 22:21
Makundi ya Kiislamu ya Misri yanafanya maandamano kesho kumuunga mkono wito wa kiongozi wa nchi hiyo wa kufanyika kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo.
2012 Dec 10 , 11:43
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran limefanikiwa kukamata ndege ya kijasusi ya Marekani isiyo na rubani baada tu ya kuingia kinyemela katika anga ya Iran.
2012 Dec 04 , 16:20
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
2012 Dec 03 , 12:55
Benki ya kwanza ya Kiislamu Tanzania imezinduliwa rasmi katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
2012 Dec 02 , 08:57
Waziri Mkuu wa serikali halali ya Palestina amesema kuwa kujiuzulu siasa Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel ni matokeo ya kipigo kikubwa na kushindwa Israel katika vita vya siku nane vya Gaza.
2012 Nov 27 , 16:49