Waziri Mkuu wa serikali halali ya Palestina amesema kuwa kujiuzulu siasa Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel ni matokeo ya kipigo kikubwa na kushindwa Israel katika vita vya siku nane vya Gaza.
2012 Nov 27 , 16:49
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo Jumatano amehutubia hadhara kubwa ya mamia ya wanaharakati wa mradi wa Mti Mzuri wa "Salihiin" akilitaja jeshi la wanamgambo la Basiji kuwa ni katika miujiza ya Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
2012 Nov 21 , 22:19
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu:
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Imam Ali Khameni amesema kuwa hitilafu kati ya Shia na Suni si suala jipya bali limekuwepo tokea huko nyuma na kuongeza kuwa, baadhi ya hitilafu hizo zimeongezeka kwa kiwango kisicho cha kawaida katika miaka ya hivi karibuni, suala linaloonesha kwamba hitilafu hizo zinachochewa katika jamii ya Kiislamu.
2012 Nov 19 , 22:13
Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa imezitaka nchi jirani na Myanmar kufungua mipaka yao mbele ya Waislamu wanaokimbia mauaji na ukatili nchini kwao huko Myanmar.
2012 Nov 15 , 11:47
Kwa mara nyingine tena Misri imeshuhudia mudhahara na maandamano makubwa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
2012 Nov 15 , 11:47
Serikali ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas leo imemtaka Barack Obama ambaye amechaguliwa tena kuiongoza Marekani kuacha kuupendelea utawala ghasibu wa Israel.
2012 Nov 07 , 22:08
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeituhumu serikali ya Ethiopia kuwa inafanya ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini humo.
2012 Nov 06 , 16:56
Mshauri wa ngazi za juu wa Rais wa Marekani Barack Obama katika masuala ya kupambana na ugaidi John O. Brennan, ametangaza kuwa, Washington inaushinikiza Umoja wa Ulaya (EU) ili uiweke harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha ya makundi ya kigaidi duniani.
2012 Oct 28 , 14:13
Hamdu zote ni za Allah, Mola Mlezi wa viumbe pia. Na rehema za Allah na salamu Zake zimfikie Mtume Mtukufu Mwaminifu na Aali zake watoharifu, wateule na masahaba wake wema.
2012 Oct 27 , 12:10
Khatibu wa swala ya Idul Adh'ha iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amewapongeza Waislamu wote kwa sikukuu hii kubwa na kuwataka washikane na Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw).
2012 Oct 26 , 23:44
Muislamu mmoja wa Bosnia Herzegovina amewasili katika mji mtakatifu wa Makka kwa miguu baada ya kukata masafa ya maelfu ya kilomita kwa ajili ya kutekeleza ibada ya hija.
2012 Oct 22 , 22:11
Harakati ya Ukombozi wa al Aqsa ya Misri imelaani barua ya upendo na urafiki iliyoandikwa na Rais wa nchi hiyo Muhammad Mursi kwa Rais wa utawala ghasibu wa Israel Shimon Perez na imemtaka Mursi aliombe radhi taifa la Misri kutokana na barua hiyo iliyojeruhi hisia za Wamisri.
2012 Oct 22 , 21:56
Wizara ya Afya ya Mauritius imetangaza kuwa imefuta marufuku ya vazi la hijabu ya Kiislamu iliyokuwa imewekwa kwa wauguzi wa kike na kuongeza kuwa wauguzi hao wa kike wanaweza kwenda kazini wakiwa na vazi lao la hijabu.
2012 Oct 17 , 21:13