Wizara ya Afya ya Mauritius imetangaza kuwa imefuta marufuku ya vazi la hijabu ya Kiislamu iliyokuwa imewekwa kwa wauguzi wa kike na kuongeza kuwa wauguzi hao wa kike wanaweza kwenda kazini wakiwa na vazi lao la hijabu.
2012 Oct 17 , 21:13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa nchi za kibeberu za Magharibi hazina ubavu wa kulilazimisha taifa la wanamapambano na angavu la Iran kusalimu amri mbele ya matakwa yao.
2012 Oct 16 , 17:23
Mtengenezaji wa filamu iliyomvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) leo amefikishwa katika mahakama ya Los Angeles kwa kesi ya utapeli.
2012 Oct 10 , 17:10
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amelaani vikali hatua ya Marekani ya kuliondoa kundi la kigaidi la MKO katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.
2012 Oct 06 , 05:46
Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria anatarajiwa kukutana na kiongozi wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah.
2012 Oct 03 , 16:32
Henry Kissinger, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani ambaye pia ni mwanasiasa na mwanadiplomasia mkongwe wa nchi hiyo amesema katika kipindi cha miaka kumi ijayo Israel haitokuwepo tena.
2012 Oct 02 , 16:00
Utafiti wa kielimu unaonyesha kwamba raia 5200 wa Uingereza Walisilimu mwaka uliopita wa 2011.
2012 Sep 29 , 14:10
Magaidi wamemuua shahidi ripota wa kanali ya televisheni ya Kiingereza ya Iran ya Press TV Maya Naser, baada ya kumshambulia katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
2012 Sep 27 , 11:06
Wiki ya Kumnusuru Mtume Muhammad (saw) ilianza jana katika mkoa wa Bahrul Ahmar huko mashariki mwa Sudan.
2012 Sep 25 , 17:47
Mtaalamu mmoja wa masuala ya kidini wa Algeria amesema kuwa asilimia 80 watu wa nchi hiyo wanaelekea kusikokuwa kibla wakati wa swala.
2012 Sep 25 , 17:46
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa umoja wa umma wa Kiislamu unaoonekana kupitia kwa Mtume Mwisho Muhammad (saw) na chuki na hasira za Waislamu wote dhidi ya kambi ya ubeberu vinapaswa kudhihirishwa katika ibada ya Hija ambayo ni kituo cha mkusanyiko wa Waislamu kutoka maeneo mbalimbali duniani.
2012 Sep 25 , 10:31
Mamia ya Waislamu wa Marekani wameandamana katika mji wa Dearborn katika jimbo la Michigan wakipinga filamu na vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (saw).
2012 Sep 22 , 22:58
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo amehutumia mjumuiko wa maelfu ya askari wa Jeshi la Ulinzi katika Divisheni ya Kaskazini na familia zao ambako ameashiria kukita mizizi, kuimarika umbo la mti wenye baraka wa Mapinduzi ya Kiislamu, kunawiri na matunda yanayoshuhudiwa katika matawi yake na kusema kuwa, kuendelea kwa harakati hiyo kunahitajia kazi, bidii kubwa, azma na hima ya wananchi wote.
2012 Sep 19 , 22:55