Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo amehutumia mjumuiko wa maelfu ya askari wa Jeshi la Ulinzi katika Divisheni ya Kaskazini na familia zao ambako ameashiria kukita mizizi, kuimarika umbo la mti wenye baraka wa Mapinduzi ya Kiislamu, kunawiri na matunda yanayoshuhudiwa katika matawi yake na kusema kuwa, kuendelea kwa harakati hiyo kunahitajia kazi, bidii kubwa, azma na hima ya wananchi wote.
2012 Sep 19 , 22:55
Pakistan imezuia upatikanaji wa video inayomvunjia heshima Mtume wa Uislamu (s.a.w) katika ukurasa wa You Tube.
2012 Sep 19 , 14:27
Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Iran:
Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa jeshi hilo kupata uwezo mkubwa wa kuzuia aina yoyote ya mashambulizi ya adui dhidi ya Iran ya Kiislamu.
2012 Sep 19 , 00:01
Amirijeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, watawala wa Marekani na nchi za Ulaya wanapaswa kuzuia hatua za kuvunjiwa heshima shakhsia tukufu ya Mtume Muhammad SAW ili kuthibitisha kivitendo kwamba hawakushiriki katika jinai hiyo kubwa dhidi ya mtukufu huyo.
2012 Sep 17 , 23:49
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran wamewakubali na kuwapa hifadhi wakimbizi wa nchi nyingine zaidi ya mataifa mengine.
2012 Sep 16 , 19:34
Makundi yanayopiga vita Uislamu nchini Marekani yametangaza uungaji mkono wao kwa mwanasiasa mwenye misimamo ya kupindukia mipaka wa Uholanzi Geert Wilders siku moja tu kabla ya uchaguzi wa bunge la nchi hiyo.
2012 Sep 11 , 23:27
Wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano makubwa katika mji wa Istanbul wakipinga marufuku ya vazi la hijabu katika shule na vyuo vikuu nchini humo.
2012 Sep 10 , 08:03
Maandamano makubwa yamefanyika mjini New York, Marekani kupinga harakati zinazofanyika nchini humo dhidi ya Uislamu.
2012 Sep 09 , 23:21
Waislamu wa madhehebu ya Suni nchini Pakistan wamefanya maandamano makubwa wakilaani mauaji yanayofanywa na makundi yenye misimamo mikali ya Kiwahaabi dhidi ya Waislamu wenzao wa madhehebu ya Shia.
2012 Sep 09 , 23:21
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran amesema kuwa madai yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza kuhusu suala la kuzidishwa vikwazo dhidi ya Tehran yanaakisi jinsi serikali ya London isivyowajibika.
2012 Sep 09 , 23:21
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima kanisa la Wakristo katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) kilichofanywa na walowezi wa Kiyahudi.
2012 Sep 09 , 23:20
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran, Ayatullah Ahmad Khatami amesema kuwa hotuba iliyotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ufunguzi wa mkutano wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) mjini Tehran imeifedhehesha Marekani, Israel na waitifaki wao.
2012 Sep 07 , 23:13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamemei mapema leo amekutana na kuhutubia Baraza la Wataalamu wanaomchagua kiongozi wa juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo amesema nchi hii kwa ujumla inapiga hatua nzuri za maendeleo.
2012 Sep 07 , 23:13