Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei adhuhuri ya leo Jumapili amehutubia hadhara iliyojumuisha Waziri wa Mambo ya Ndani, Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah), makamanda wa jeshi la polisi na wafanyakazi wa jeshi hilo na kusisitiza kuwa kuwaridhisha wananchi humfanya mwanadamu apate radhi za Mwenyezi Mungu.
2012 Apr 16 , 00:25
Moja ya njia za kumkomboa mwanadamu wa dunia ya leo kutoka kwenye migogoro inayomkabili ni kumuongoza kuelekea katika miujiza ya Qur'ani Tukufu ili aweze kupata muongozo wa kweli ambao ni Uislamu, amesema mwanazuoni wa Misri.
2012 Apr 15 , 22:42
Vyombo vya habari na vya mawasiliano ya umma nchini Korea vinalaumiwa kwa kuonesha sura isiyokuwa sahihi kuhusu Uislamu.
2012 Apr 14 , 18:55
Semina itakayochunguza wajibu na nafasi ya wanawake Waislamu katika kuanzisha jamii ya Kiqur'ani itafanyika kesho katika mi wa Lucknow katika jimbo la Utta Pradesh nchini India. Semina hiyo inasimamiwa na Taasisi ya Qur'ani ya mji wa Lucknow.
2012 Apr 14 , 18:27
Masomo ya muda ya uongozi sahihi wa misikiti na shule za kidini makhsusi kwa ajili ya wanazuoni wa Uganda yatakamilika Jumatano ya kesho.
2012 Apr 10 , 20:24
Chuo Kikuu cha Rutgers katika jimbo la New Jersy nchini Marekani leo kimeanza kutekeleza mpango wa Wiki ya Ujue Uislamu.
2012 Apr 09 , 18:15
Hali ya Waislamu wenye asili ya Afrika inachunguzwa leo na kesho Jumapili katika kituo cha Utafiti wa Kiafrika-Kimarekani katika Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani.
2012 Apr 07 , 17:16
Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Ikhwanul Muslimin nchini Misri amesema lengo lake kuu ni kutekeleza sheria za Kiislamu nchini humo iwapo atashinda uchaguzi ujao.
2012 Apr 07 , 16:57
Kiongozi Muadhabu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei Jumatano ya leo amekutana na makamanda wa vikosi vya jeshi la Iran na maafisa wa ofisi za wawakilishi wa Faqihi Mtawala ambapo amevitaka vikosi vyote vya jeshi kuimarisha imani ya kidini sambamba na kujiweka tayari zaidi kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao.
2012 Apr 05 , 11:41
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kusisitiza na kushikamana barabara na misimamo yake ya kimsingi na kistratijia ya kuyahami mataifa yanayokandamizwa na kudhulumiwa kote duniani ambayo ilianzishwa na hayati Imam Khomeini Mwenyezi Mungu amrehemu.
2012 Apr 04 , 21:11
Waziri wa Masuala ya Kidini wa Tunisa amesema kuwa wafuasi wa kundi la Kiwahabi wanadhibiti misikiti 400 nchini humo kwa lengo la kueneza fikra potovu za kundi hilo.
2012 Apr 02 , 12:47
Chama cha Kitaifa cha Tunisia kimetoa pendekezo la kuongezwa neno la Laa Ilaha Illallah katika bendera ya nchi hiyo.
2012 Apr 02 , 12:29
Maelfu ya wananchi wa Tunisia wameandamana wakitaka kuundwa serikali ya Kiislamu nchini mwao.
2012 Mar 26 , 12:43