Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa Mauritania amewataka maulamaa wa Kiislamu kutoa mchango katika marekebisho ya jamii na kuonesha njia halisi ya Uislamu kwa wananchi.
2012 Jan 23 , 17:31
Maelfu ya wananchi wa mji wa Benghazi huko mashariki mwa Libya wamefanya maandamano katika Medani ya Tahrir wakitaka kutumiwa sheria za Kiislamu katika katiba ya nchi hiyo.
2012 Jan 22 , 14:20
Watu wasiojulikana wameshambulia msikiti na Kituo cha Kiislamu cha mji wa Montigny-en-Ostrevent nchini Ufaransa na kuandika maneno machafu dhidi ya Waislamu katika kuta za eneo hilo.
2012 Jan 19 , 09:40
Warsha ya Kituo cha Kiislamu cha al Azhar na Afrika, Changamoto na Mustakbali itafanyika tarehe 30 Januari kwa ushirikiano wa Chuo cha al Azhar na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri.
2012 Jan 18 , 17:26
Kuhani mmoja wa Kizayuni amepongeza uungaji mkono wa Israel kwa utawala wa zamani wa Misri ya kipindi cha Hosni Mubarak na kusisitiza kuwa Wayahudi wanamuombea dua dikteta huyo wa zamani na wanamuomba Mwenyezi Mungu ampe siha na afya!!
2012 Jan 16 , 16:47
Wananchi wa Tunisia wameadhimisha mwaka mmoja tangu kufanyika mapinduzi ya wananchi nchini humo.
2012 Jan 16 , 14:49
Kiongozi mmoja wa chama cha Uhuru na Uadilifu tawi la harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri ameitaka Marekani itazame upya uungaji mkono wake kwa utawala ghasibu wa Israel na kusisitiza kuwa kuendelea kuuungaji mkono utawala huo haramu kunahatarisha maslahi ya Washington katika Mashariki ya Kati.
2012 Jan 15 , 14:18
Chama Harakati ya al Amal al Islami (Labor Party) cha Jordan kimetahadharisha juu ya kuendelezwa mazungumzo yasiyokuwa na tija kati ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala ghasibu wa Israel.
2012 Jan 15 , 12:00
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amelaani vikali mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Kiirani aliyeuawa na vibaraka wa ubeberu na Uzayuni wa kimataifa.
2012 Jan 14 , 01:30
Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha Lebanon Sheikh Naeem Qasim amesema kuwa Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu wake ni watekelezaji wa siasa na matakwa ya Wamarekani na hawawakilishi jamii ya kimataifa.
2012 Jan 11 , 18:49
Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuzingatia mafundisho ya Kiislamu katika malezi ya watoto ili waweze kufanikiwa maishani.
2012 Jan 11 , 16:14
Taasisi ya Wakfu na Turathi za al Aqsa (AFEH) imeripoti kuwa askari wa utawala haramu wa Israel wameshambulia Msikiti wa al Aqsa na kupiga doria katika uwanja wa eneo hilo tukufu.
2012 Jan 09 , 11:54
Serikali ya jimbo la Cuebec nchini Canada imetoa taarifa likilaani mashambulizi yaliyofanywa na watu wasiojulikana dhidi ya msikiti wa mji wa Gatino.
2012 Jan 08 , 17:07