Kikao kuhusu ‘Nafasi ya Wanawake katika Uislamu’ kimefanyika Agosti 16 katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
2011 Aug 17 , 11:59
Kikao cha kuchunguza thamani za pamoja za Uislamu na Ukristo kitafanyika kesho katika Baitul Umma mjini Cairo, Misri.
2011 Aug 16 , 17:39
Kikao cha pili cha kesi ya kiongozi aliyeng'olewa madarakani wa Misri Hosni Mubarak kinafanyika leo mjini Cairo. Hosni Mubarak ambaye amepewa lakabu ya Firauni wa Sasa wa Misri, ameiongiza nchi hiyo kwa ngumi ya chuma kwa kipindi cha zaidi ya miongo mitatu.
2011 Aug 15 , 15:35
Mkurugenzi wa shirika la vyakula la Indomie amesema kuwa shirika lake litatoa futari kwa Waislamu milioni tatu wa Nigeria katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
2011 Aug 14 , 14:32
Sheikh Naim Qassim, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amesisitiza kuwa tuhuma zinazotolewa dhidi ya harakati hiyo kuwa ni sehemu ya mradi wa pamoja wa Hamas, Jihad al-Islami, Syria na Iran, ni fahari kwa harakati hiyo ya mapambano.
2011 Aug 14 , 14:30
Baraza Kuu la Waislamu wa Ujerumani limechukua hatua ya kustaajabisha ya kuruhusu wachezaji Waislamu wa soka nchini humo kula na kunywa mchana wa Ramadhani!
2011 Aug 13 , 19:48
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa mapinduzi makubwa ya taifa la Iran yalifanyika kwa malengo maalumu na yakiwa kama tukio la aina yake katika historia, yangali yanafuatilia malengo na thamani hizo bila ya kupotoka na kuyumba.
2011 Aug 11 , 09:58
Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nchini Iran amesema kuwa harakati ya mwamko na mapindizu ya wananchi katika nchi za Kiarabu za Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika yamerejesha utambulisho wa Kiislamu.
2011 Aug 10 , 16:16
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Taurati katika utawala ghasibu wa Israel amemtaka Sheikh wa al Azhar nchini Misri kutoa fatuwa ya kidini ya kumsamehe dikteta wa zamani wa nchi hiyo Hosni Mubarak.
2011 Aug 09 , 15:10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu:
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mwamko wa Kiislamu unaoshuhudiwa hivi sasa Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika ni tukio kubwa mno ambalo halijawahi kushuhudiwa tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
2011 Aug 08 , 14:27
Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya nchini Misri imefanya uchaguzi wake wa kwanza wa wazi tokea kuasisiwa harakati hiyo, ikiwa ni katika juhudi za kuwachagua viongozi wake wa ngazi za juu.
2011 Aug 07 , 17:15
Jeshi la Misri limekuwa chini ya udhibiti wa Marekani kwa zaidi ya kipindi cha miaka 30 na iwapo Baraza Kuu la Kijeshi la Nchi hiyo linataka kufanikisha mapinduzi ya wananchi halina budi kulisafisha jeshi la chi hiyo kwa kuwatimua wafuasi wa Marekani.
2011 Aug 07 , 14:50
Kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Bahrain amesema kuwa suala la kubadilishwa utawala wa kifalme wa nchi hiyo ndio takwa kuu la wananchi na ameutahadharisha utawala wa Aal Khalifa juu ya kupuuza matakwa ya wananchi.
2011 Aug 06 , 16:20