iqna

IQNA

sudan
Sudan
IQNA - Nakala ya Qur'an Tukufu ilibakia salama baada ya moto kuteketeza gari nchini Sudan hivi karibuni.
Habari ID: 3478271    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Vita vya Sudan vimeingia mwezi wa tatu Alkhamisi iliyopita wakati idadi ya vifo ikipindukia 2,000 na baada ya gavana wa jimbo hilo kuuawa katika jimbo la Darfur.
Habari ID: 3477145    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/17

Mgogoro wa Sudan
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa Sudan.
Habari ID: 3476957    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/04

Mgogoro Sudan
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) umepangwa kufanyika wiki hii kujadili mgogoro unaotokoota nchini Sudan
Habari ID: 3476948    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/02

Vita
TEHRAN (IQNA)- Mapigano kati ya wanajeshi wa Sudan yameingia wiki yake ya tatu ambapo hadi kufikia leo watu zaidi ya 578 wameuawa huku Umoja wa Mataifa ukionya kuwa nchi hiyo inasambaratika.
Habari ID: 3476936    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/30

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Katika hali ambayo mgogoro wa Sudan pamoja na vita vinaendelea kushuhudiwa, utawala haramu wa Israel umewaalika majerali mahasimu wa Sudan kwenda Tel Aviv kwa ajili ya upatanishi.
Habari ID: 3476919    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/27

Matukio ya Sudan
TEHRAN (IQNA)- Mashambulizi ya mara kwa mara yalirindima katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum hata baada ya pande mbili hasimu kutangaza kusitisha mapigano
Habari ID: 3476903    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/22

Tahariri
TEHRAN (IQNA)- Nchini Sudan hali si shwari ambapo habari kutoka nchini humo zinaonyesha kuendelea mapigano kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya radiamali ya haraka na kuzusha wasiwasi wa kutokea mapinduzi katika nchi hiyo ya Kiafrika.
Habari ID: 3476879    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/16

TEHRAN (IQNA)- Milio ya risasi na milipuko imesikika katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, baada ya siku kadhaa za mvutano kati ya kikosi cha radiamali ya haraka na jeshi la nchi hiyo.
Habari ID: 3476873    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/15

Harakati za Qur'ani Sudan
TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya wananchi wameshiriki katika sherehe ya kuwapongeza wanafunzi wanafunzi 150 waliohifadhi Qur'ani katika shule za mji wa Hamshkorib Kaskazini-Mashariki mwa Sudan.
Habari ID: 3476399    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13

TEHRAN (IQNA)- Mtu moja ameuawa jana Sudan wakati maelfu ya wananchi walipoandamana katika mji mkuu Khartoum na miji mingine mikubwa nchini humo kupinga utawala wa kijeshi nchini humo.
Habari ID: 3474875    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/31

TEHRAN (IQNA)- Raia wa Sudan wanaendelea kufanya maandamano wakipinga uingiliaji wa madola ya kigeni au ajinabi katika masuala ya ndani ya nchi yao na wamemtaka mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo.
Habari ID: 3474858    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/27

TEHRAN (IQNA)- Mchezaji maarufu wa tennis kutoka Kuwait amepongezwa kwa hatua yake ya kujiondoa katika shindano moja la kimataifa baada ya kubainika kuwa alitakuwa ashindane na raia wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474836    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22

TEHRAN (IQNA)- Waandishi habari nchini Sudan wamelaani vikali kitendo cha wakuu wa utawala wa kijeshi kufunga ofisi za Televisheni ya Kimataifa ya Al Jazeera nchini humo.
Habari ID: 3474818    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/17

TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetangaza kuunga mkono Umoja wa Mataifa katika jitihada zake za kupatanisha makundi yote ya kisiasa Sudan ili kutatua mgogoro unaoendelea kutokota nchini humo.
Habari ID: 3474790    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10

TEHRAN (IQNA)- Jeshi Sudan ambalo limenyakua uongozi wa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya hivi karibuni linaendelea na mazunguumzo na Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani.
Habari ID: 3474512    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04

TEHRAN (IQNA)- Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3474510    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03

TEHRAN (IQNA)- Baada ya kupita siku 33 tangu kutokea jarIbio la mapinduzi lililofeli nchini Sudan, mapinduzi mapya ya kijeshi yametokea katika nchi hiyo ya Kiafrika.
Habari ID: 3474475    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/26

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza kuwa nchi hiyo inapinga utawala wa Kizayuni wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
Habari ID: 3474424    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu nchini Sudan amesisitiza umuhimu wa kufundisha sayansi ya dini na ufahamu wa Qur'ani shuleni.
Habari ID: 3474158    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/04