Habari Maalumu
IQNA – Katika jitihada za kuhifadhi urithi wa makari maarufu wa Qur'ani wa Misri na kutambua mchango wao wa kipekee, Idhaa ya Qur'ani ya Misri imepokea...
21 Jul 2025, 19:40
IQNA – Mtaalamu kutoka chuo kikuu nchini Lebanon amesema kuwa lengo la utawala wa Kizayuni katika vita vya siku 12 dhidi ya lilikuwa kuuangusha mfumo wa...
20 Jul 2025, 20:12
IQNA- Ibrahim Isa Musa, qari mashuhuri kutoka Afrika ya Kati, ameshiriki katika kampeni ya Qur’ani ya “Fath” iliyoandaliwa na shirika la IQNA kwa kusoma...
20 Jul 2025, 18:57
IQNA – Kozi maalum ya kiangazi ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani kwa wanawake imezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka maarufu kama Masjid al Haram.
20 Jul 2025, 18:44
IQNA-Hatua ya Awali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi wa Kiislamu Imeanza kwa Njia ya Mtandao
20 Jul 2025, 18:27
IQNA-Maandamano ya watu karibu milioni moja yamefanyika huko Sanaa, mji mkuu wa Yemen, jana Ijumaa katika kutangaza mshikamano wao na Wapalestina huko...
19 Jul 2025, 17:54
IQNA – Baraza Kuu la Fatwa la Syria limesema mojawapo ya kanuni zisizopingika za Uislamu ni marufuku ya usaliti na kushirikiana na adui Mzayuni au Muisraeli...
19 Jul 2025, 18:01
IQNA – Warsha ya tatu maalum ya mafunzo kuhusu mbinu mpya za kuhifadhi Qur’ani Tukufu imeanza katika Shule ya Zuhair Bin Al-Qain huko Karbala, Iraq.
19 Jul 2025, 17:48
IQNA – Idara inayosimamia kaburi au Haram ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq imetangaza usambazaji wa takriban nakala 15,000 za Qur’ani Tukufu na...
19 Jul 2025, 17:38
IQNA – Karibu watu milioni mbili waliswali katika Al-Rawdah Al-Sharif ndani ya Al Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina wakati wa msimu wa Hija...
19 Jul 2025, 17:28
IQNA – Afisa mmoja wa masuala ya utamaduni kutoka Iran amesema kwamba matembezi makubwa ya kila mwaka ya Arbaeen ni fursa ya kipekee ya kuonesha ustaarabu...
18 Jul 2025, 18:45
IQNA – Ayatullah Mkuu Sayyid Ali al-Sistani, kiongozi wa juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, ametuma salamu za rambi rambi kwa familia za...
18 Jul 2025, 18:39
IQNA – Huduma za Hija kwa Waislamu wa Afrika Kusini sasa zitawekwa chini ya usimamizi wa Baraza la Hija na Umra la Afrika Kusini (SAHUC).
18 Jul 2025, 18:33
IQNA – Wizara ya Wakfu (Awqaf) ya Misri imetangaza kutayarishwa kwa mfululizo wa dokumentari zitakazoangazia misikiti muhimu ya nchi hiyo.
18 Jul 2025, 18:24
IQNA – Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza majina ya washiriki wa KiMisri waliokidhi masharti ya kushiriki katika mtihani maalum wa uteuzi, ili kuwachagua...
18 Jul 2025, 18:16
IQNA – Kampeni mpya ya kimataifa ya Qurani kwa jina “Fath” imezinduliwa kwa lengo la kuinua morali ya majeshi ya Kiislamu na kueneza maadili ya Qurani...
17 Jul 2025, 10:49