iqna

IQNA

COVID-19
TEHRAN (IQNA) –Serikali ya Nigeria imeruhusu misikiti na maeneo mengine ya ibada kufunguliwa nchini humo lakini kwa masharti maalumu huku zuio la COVID-19 likianza kupunguza.
Habari ID: 3472839    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/05

TEHRAN (IQNA) –Misikiti katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta, imefunguliwa Ijumaa kwa mara ya kwanza baada ya takribani miezi mitatu, huku nchi hiyo ikianza zuio ambalo limekuwepo ili kupunguza kasi ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472838    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/05

TEHRAN (IQNA) – Wananchi wa Tunisia wamerejea katika misikiti na migahawa Alhamisi baada ya nchi hiyo kuhitimisha zuio na vizingiti ambavyo vilikuwa vimewekwa kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 .
Habari ID: 3472835    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/04

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Indonesia imesema raia wa nchi hiyo mwaka huu hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija kutokana na hofu ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472827    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02

TEHRAN (IQNA) – Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema misikiti yote nchini itafunguliwa kwa ajili ya swala zote.
Habari ID: 3472820    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/31

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mkubwa zaidi katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, utafunguliwa tena Jumanne.
Habari ID: 3472819    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/31

TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Syria imemfungua tena Haram Takatifu ya Bibi Zainab (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake -SA-) katika kiunga cha mji mkuu, Damascus, miezi miwili baada ya kufungwa.
Habari ID: 3472813    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/29

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini Palestina katika Ukanda wa Ghaza imesema misikiti ya eneo hilo itafunguliwa tu kwakati wa Swala wa Ijumaa na kwa kuzingatia kanuni za afya za kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472811    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/28

TEHRAN (IQNA)- Misikiti nchini Singapore itafunguliwa kuanzia Jumanne Juni pili kwa ajili ya swala zisizo za jamaa huku zuio la COVID-19 likianza kuondolewa nchini humo.
Habari ID: 3472809    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/28

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Syria imetangaza kuanza swala za jamaa katika misikiti ya nchi hiyo kuanzia sikua ya Jumatano.
Habari ID: 3472808    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/27

TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imesema itaendelea kusitisha kwa muda Ibada ya Umrah ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona lakini misikiti yote nchini humo imefunguliwa isipokuwa Msikiti Mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3472803    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26

TEHRAN (IQNA) – Utawala wa jimbo la Java Mashariki nchini Indonesia umebatilisha idhini ya Sala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al Akbar mjini Surabaya baada ya wataalamu kuonya kuhusu matokeo mabaya ya mjumuiko wa watu wengi wakati wa kipindi hiki cha janga la COVID-19 .
Habari ID: 3472780    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19

TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya misikiti imekaidi amri ya serikali ya nchi hiyo kuzuia kwa muda sala za jamaa katika misikiti ili kukabiliana na ugonjwa ambukizi wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472768    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/15

TEHRAN (IQNA) – Misikiti nchini Italia itaendelea kufungwa wakati wa Sala ya Idul Fitri ikiwa ni katika muendelezo wa kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 .
Habari ID: 3472765    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14

TEHRAN (IQNA) – Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa Ibada ambao huwajumuisha Waislamu kwa lengo moja.
Habari ID: 3472764    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14

TEHRAN (IQNA) – Pamoja na kuwepo tishio la ugonjwa wa COVID-19 na matatizo yatokanayo na zuio la watu kutoka nje nchini Malaysia, Waislamu nchini humo wanatumia wakati wao nyumbani kujikurubisha zaidi na Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3472761    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13

TEHRAN (IQNA) - Tokea zama za kale, Waislamu nchini Misri hufyatua mizinga baada ya kuonekana hilalii ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kwa njia hiyo watu wote wapata habari za kuwadhia mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3472760    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/12

TEHRAN (IQNA) – Baada ya Mauritania kuondoa vizingiti vilivyokuwa vimewekwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 , misikiti imefunguliwa nchini humo.
Habari ID: 3472756    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11

Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema, ugaidi unaolenga siha za watu ni hatua mpya ya upande mmoja ya Marekani ambayo imeyaweka hatarini maisha ya watu bilioni mbili duniani.
Habari ID: 3472755    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA) -Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua ya pili Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kujiondoa kinyume cha sheria Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, vikwazo vya upande mmoja ilivyoiwekea Iran na ukiukaji mkubwa na wa mara kwa mara inaofanya wa Hati ya Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3472754    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/10