iqna

IQNA

Majlisi
Zarif akihutubu katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, wizara yake inatekeleza mkakati wa kusambaratisha njama za kiuchumi za Markeani dhidi ya Iran.
Habari ID: 3472930    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/05

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ametuma salamu za pongezi katika sherehe za kuanza awamu ya 11 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, na kusema kwa mara nyingine, demokrasia ya Kiislamu imeonyesha mvuto wake duniani.
Habari ID: 3472807    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/27

TEHRAN (IQNA) - Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepasisha kwa kauli moja muswada wa dharura wa kukabiliana na njama na uhasama za utawala wa Kizayuni wa Israel, dhidi ya amani na usalama wa kieneo na kimataifa.
Habari ID: 3472759    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/12

Kwa mnasaba maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Mtume Muhammad , SAW, Imam Hussein AS, vikao kadhaa vya kusoma Qur'ani vimeandaliwa katika misikiti mbali mbali kote Kuwait.
Habari ID: 3388677    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema misimamo ya nyuklia ya Iran ni ile ile iliyotangazwa mara kadhaa hadharani.
Habari ID: 3308684    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/28

Washiri kadhaa wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran ametembelea Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, siku ya Jumapili.
Habari ID: 3304650    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/18

Spika wa Majlisi ya Iran
Ali Larijani Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran (Bunge), amesema kuwa leo ulimwengu wa Kiislamu umekuwa na fursa na nafasi kubwa zaidi hivi sasa ikilinganishwa na miongo iliyopita.
Habari ID: 2692012    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/10