IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Majenerali walioongoka wa Kiislamu katika shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria na kusisitiza kwamba: "Taifa la Iran litawafanya Wazayuni wajutie jinai hiyo na jinai zingine kama hiyo."
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema Qur'ani Tukufu inaweza kujibu maswali yote ambayo wanadamu wanayo, akibainisha kuwa majibu haya yanaweza kupatikana kwa njia ya ijtihad.
IQNA – Haram Tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala hivi karibuni ilihitimisha awamu ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kusoma Qur’ani, ambayo yamefanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
IQNA - Zaidi ya waumini milioni moja walikusanyika kwenye HaramTukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq katika maombolezo yaliyofanyika wakati wa kumbukumbu ya kifo chake cha kishahidi na kushika sambamba na ibada za Usiku wa Laylatul Qadr.
IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametembelea Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran tarehe 30 Machi 2024. Pia alihudhuria hafla ya kuwaenzi watumishi 15 wa Qur'ani.
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
IQNA - Makumi ya maelfu ya waumini walikusanyika kwenye Haram ya Imam Ridha (AS) mnamo Machi 29, 2024, kutekeleza ibada za usiku wa kwanza wa 'Laylatul Qadr' katika Haram mkesha wa siku 19 ya Mwezi wa Ramadhani mwaka huu.
IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Karim Mansouri alisoma aya za Qur'ani Tukufu katika Kipindi cha Televisheni cha Mahfel kinachorushwa kila siku kupitia Kanali ya Tatu ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB).
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
IQNA - Katibu Mkuu wa Hizbullah Sayyed Hasan Nasrallah ametoa wito kwa watu kujitokeza kwa wingi barabarani Ijumaa ijayo ambayo inaadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Quds.