IQNA

Washiriki wa Mashindano ya Qur’ani watembelea Misikiti na maeneo ya kihistoria Madina

Washiriki wa Mashindano ya Qur’ani watembelea Misikiti na maeneo ya kihistoria Madina

IQNA – Washiriki wa Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mfalme Abdulaziz wametembelea misikiti ya kihistoria na maeneo ya turathi katika mji wa Madina, kama sehemu ya programu ya kitamaduni iliyoandaliwa na mamlaka za Saudi Arabia.
15:57 , 2025 Aug 19
Mwanamke wa Karnataka aandika nakala nzima ya Qur’ani Tukufu kwa mkono

Mwanamke wa Karnataka aandika nakala nzima ya Qur’ani Tukufu kwa mkono

IQNA – Fathima Sajla Ismail kutoka jimbo la Karnataka, India, amekamilisha kuandika Qur’ani Tukufu yote kwa mkono akitumia kalamu ya jadi ya kuzamisha kwenye wino (dip pen).
15:42 , 2025 Aug 19
Mkutano wa Qur’ani ya Nukta Nundu (Braille) Kashmir wajadili msaada kwa wenye ulemavu wa macho

Mkutano wa Qur’ani ya Nukta Nundu (Braille) Kashmir wajadili msaada kwa wenye ulemavu wa macho

IQNA – Jumapili, mji wa Banihal katika eneo la Kashmir linalosimamiwa na India uliandaa Mkutano wa Pili wa Qur’ani ya Braille kwa watu wenye ulemavu wa kuona.
15:23 , 2025 Aug 19
Gavana wa Misri asema marehemu Qari Shuaisha alikuwa balozi bora wa Qur’ani

Gavana wa Misri asema marehemu Qari Shuaisha alikuwa balozi bora wa Qur’ani

IQNA – Gavana wa mkoa wa Kafr el-Sheikh nchini Misri amesema kuwa marehemu qari Sheikh Abulainain Shuaisha alikuwa balozi bora wa Qur’ani na ataendelea kubaki kuwa fahari ya Misri.
15:11 , 2025 Aug 19
Tathmini ya awali ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani kwa wanafunzi yakamilika

Tathmini ya awali ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani kwa wanafunzi yakamilika

IQNA – Mchujo wa awali wa usomaji kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu umekamilika, ambapo kazi kutoka nchi 36 zimepitiwa.
14:38 , 2025 Aug 19
Misikiti duniani yahimizwa kuungana kulinda Al-Aqsa katika Siku ya  Kimataifa ya Msikiti

Misikiti duniani yahimizwa kuungana kulinda Al-Aqsa katika Siku ya Kimataifa ya Msikiti

IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Kiirani amehimiza ushirikiano imara kati ya misikiti duniani, akisisitiza haja ya hatua za pamoja kulinda Msikiti wa Al-Aqsa dhidi ya uvamizi unaendelea wa utawala ghasibu wa Israel.
23:19 , 2025 Aug 18
Mtume Muhammad (SAW): Kielelezo kamili cha maadili na umoja asema mtafiti

Mtume Muhammad (SAW): Kielelezo kamili cha maadili na umoja asema mtafiti

IQNA – Mwanazuoni wa dini kutoka Qom amemwelezea Mtume Muhammad (SAW) kuwa ndiye kielelezo bora kabisa kwa wanadamu, akisisitiza kuwa tabia yake njema ni mwongozo wa kudumu kwa Waislamu wa leo.
22:57 , 2025 Aug 18
Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu: Awamu ya Awali ya Yaendelea

Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu: Awamu ya Awali ya Yaendelea

IQNA – Awamu ya awali ya kategoria ya usomaji katika Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamuyaliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza rasmi, huku washiriki kutoka mataifa 36 wakituma video za usomaji kwa ajili ya tathmini.
22:46 , 2025 Aug 18
Sherehe Katika Msikiti wa Faisal, Islamabad kuwaenzi  wahifadhi wa Qur’ani Tukufu

Sherehe Katika Msikiti wa Faisal, Islamabad kuwaenzi wahifadhi wa Qur’ani Tukufu

IQNA – Msikiti maarufu wa Faisal ulioko katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad, uliandaa sherehe ya kuwaenzi wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
22:30 , 2025 Aug 18
Mtaalamu wa Syria: Lugha ya Kiarabu imeenea na kuimarika kutokana na Qur’ani Tukufu

Mtaalamu wa Syria: Lugha ya Kiarabu imeenea na kuimarika kutokana na Qur’ani Tukufu

IQNA – Muhammad Hussein al-Tayyan, mwandishi na mtaalamu wa lugha wa Syria, anaamini kwamba Qur’an ni kitovu cha lugha ya Kiarabu, na kupitia Qur’an ndiyo lugha hii iliyoenea na kukomaa.
22:19 , 2025 Aug 18
Misri yaanzisha Mashindano ya Taifa ya Televisheni Kutafuta Maqari wenye  vipaji

Misri yaanzisha Mashindano ya Taifa ya Televisheni Kutafuta Maqari wenye vipaji

IQNA – Misri imetangaza mashindano makubwa zaidi ya taifa ya televisheni yenye lengo la kugundua vipaji vipya vya usomaji wa Qur’ani.
08:39 , 2025 Aug 17
Mkuu wa ACECR: Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu yadhihirisha umuhimu wa Diplomasi ya Qur’ani:

Mkuu wa ACECR: Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu yadhihirisha umuhimu wa Diplomasi ya Qur’ani:

IQNA – Kiongozi wa Akademia ya Iran ya Elimu, Utamaduni na Utafiti (ACECR) amesema kwamba programu kama Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu huchangia katika elimu ya kizazi kipya na kuimarisha diplomasia ya kitamaduni kupitia Qur’ani Tukufu.
08:31 , 2025 Aug 17
Jaribio la kigaidi la kuchoma moto Chumba cha Sala cha Waislamu mashariki mwa Ufaransa

Jaribio la kigaidi la kuchoma moto Chumba cha Sala cha Waislamu mashariki mwa Ufaransa

IQNA – Mamlaka za Ufaransa zimeanzisha uchunguzi kufuatia jaribio la kuchoma moto chumba cha kusalia cha Waislamu mjini Châtillon-sur-Seine, tukio ambalo maafisa wamelilaani kuwa ni kitendo cha kigaidi cha uoga na chenye chuki dhidi ya Uislamu.
16:56 , 2025 Aug 16
Wamalaysia watumia  njia ya heshima ya kuweka mbali Misahafu iliyochakaa

Wamalaysia watumia njia ya heshima ya kuweka mbali Misahafu iliyochakaa

IQNA – Jimbo la Sarawak, Malaysia limeanzisha mbinu rafiki kwa mazingira katika kuheshimu na kuondosha nakala zilizochakaa za Misahafu au Qur’an Tukufu.
16:48 , 2025 Aug 16
Zaidi ya Wafanyaziyara milioni 21 Washiriki matembezi ya Arbaeen Iraq

Zaidi ya Wafanyaziyara milioni 21 Washiriki matembezi ya Arbaeen Iraq

IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni 21 wameshiriki katika ziara ya Arbaeen mwaka huu nchini Iraq, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na haram ya Abul-Fadhlil Abbas (AS).
16:40 , 2025 Aug 16
6