IQNA

Mus’haf wa kihistoria wa ‘Kufi’ waonyeshwa katika Makumbusho ya Qur'ani ya Makka.”

Mus’haf wa kihistoria wa ‘Kufi’ waonyeshwa katika Makumbusho ya Qur'ani ya Makka.”

IQNA – Nakala ya kihistoria na yenye thamani kubwa ya Qur'ani Tukufu, inayojulikana kama “Qur'ani ya Kufi,” imewekwa wazi kwa umma katika Makumbusho ya Qurani ya Makka.
09:33 , 2026 Jan 24
Mashirika 10 hasimu ya ujasusi yamegonga mwamba katika njama dhidi ya Iran

Mashirika 10 hasimu ya ujasusi yamegonga mwamba katika njama dhidi ya Iran

IQNA-Shirika la Usalama la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa taarifa likisema, machafuko ambayo yamekuwa yakifanyika nchini Iran tangu mwishoni mwa Desemba yalikuwa sehemu ya "fitina iliyopangwa" na mashirika ya ujasusi ya nchi 10 maadui, kwa shabaha ya kuivuruga nchi kupitia vitendo vya vurugu, hujuma na kampeni za upotoshaji zilizoratibiwa kwa vyombo vya habari.
09:25 , 2026 Jan 24
Rais Pezeshkian: Maadui wa Umma wa Kiislamu wanapanga  kueneza ugaidi

Rais Pezeshkian: Maadui wa Umma wa Kiislamu wanapanga kueneza ugaidi

IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mpango wa maadui wa Umma wa Kiislamu ni kueneza na kuendeleza ugaidi na ukosefu wa usalama katika eneo kwa kuzusha migogoro ya ndani katika mataifa ya Kiislamu.
09:18 , 2026 Jan 24
Wana wa Sheikh Abdul Basit wahudhuria uzinduzi wa Apu ya Al Moeen Sharjah, UAE

Wana wa Sheikh Abdul Basit wahudhuria uzinduzi wa Apu ya Al Moeen Sharjah, UAE

IQNA – Aplikesheni mahiri ya “Al Moeen” imezinduliwa katika hafla maalumu iliyofanyika Alhamisi katika Chuo cha Qur’ani Tukufu mjini Sharjah, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
16:01 , 2026 Jan 23
Hujjatul Islam Shahriari Akutana na Spika wa Bunge la Malaysia

Hujjatul Islam Shahriari Akutana na Spika wa Bunge la Malaysia

IQNA – Katibu Mkuu wa Jukwaa la Kimataifa la Umoja na Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST) amekutana na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Malaysia.
15:46 , 2026 Jan 23
Imam Hussein (AS) ni Kielelezo cha Milele cha Kusimama Dhidi ya Dhulma

Imam Hussein (AS) ni Kielelezo cha Milele cha Kusimama Dhidi ya Dhulma

IQNA – Leo ni Ijumaa tarehe Tatu Rajab 1447 Hijria sawa na 23 Januari mwaka 2026. Siku kama ya leo miaka 1443 iliyopita, alizaliwa Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS) mjukuu mtukufu wa Mtume Muhammad (SAW).
15:29 , 2026 Jan 23
Kiongozi wa Yemen asema Marekani imefedheheka baada ya kuibua ghasia  Iran

Kiongozi wa Yemen asema Marekani imefedheheka baada ya kuibua ghasia Iran

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ilichochea machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, na kwamba imefedheheka kwani njama za zimepata kipigo kikubwa cha kimkakati.
14:59 , 2026 Jan 23
Mkutano wa Malaysia wasisitiza kubadilisha Umoja wa Kiislamu kutoka kauli mbiu hadi mkakati wa kivitendo

Mkutano wa Malaysia wasisitiza kubadilisha Umoja wa Kiislamu kutoka kauli mbiu hadi mkakati wa kivitendo

IQNA-Katika Mkutano wa Umoja wa Ummah wa Kiislamu na Palestina uliofanyika Malaysia, wazungumzaji walilitaja suala la Palestina kuwa “ dira ya maadili ya Ummah wa Kiislamu” na kusisitiza umuhimu wa kuubadilisha umoja wa Kiislamu kutoka maneno ya majukwaani hadi mkakati wa kivitendo.
10:31 , 2026 Jan 22
Theluji yafunika maeneo ya mijini na vijijini Kaskazini Magharibi mwa Iran

Theluji yafunika maeneo ya mijini na vijijini Kaskazini Magharibi mwa Iran

Theluji imefunika mji wa Ahar pamoja na maeneo mengine ya mijini na vijijini katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran, hali iliyowaletea furaha wakazi na hasa wakulima waliokuwa wakingoja neema ya msimu.
10:17 , 2026 Jan 22
Redio ya Mauritania yaanza kurekodi qiraa ya tartil ya Qur'ani Tukufu

Redio ya Mauritania yaanza kurekodi qiraa ya tartil ya Qur'ani Tukufu

IQNA-Hafla ya kuanza kurekodi qiraa au usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa mtindo wa tartīl kwa riwaya za Warsh na Qālūn imefanyika katika Redio ya Mauritania.
13:51 , 2026 Jan 21
Wanazuoni wa Kiislamu duniani watoa Fatwa kuharamisha mahusiano na Israel

Wanazuoni wa Kiislamu duniani watoa Fatwa kuharamisha mahusiano na Israel

IQNA – Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (International Union of Muslim Scholars – IUMS) umetoa fatwa (hukumu ya kidini) ikitangaza kwamba kuwa na mahusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel ni haramu kisheria kwa mujibu wa Uislamu.
13:37 , 2026 Jan 21
Wanazuoni wa Hawza ya Qom walaani kauli za Trump

Wanazuoni wa Hawza ya Qom walaani kauli za Trump

IQNA – Kauli za kubeza za mtawala wa Marekani Donald Trump kuhusu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, zimezua lawama kali kutoka kwa Jumuiya ya Walimu wa Hawza (vyuo vya Kiislamu) katika mji mtakatifu wa Qom nchini Iran.
13:29 , 2026 Jan 21
Harakati ya Nujabaa ya Iraq: Tishio lolote dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni tangazo la vita

Harakati ya Nujabaa ya Iraq: Tishio lolote dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni tangazo la vita

IQNA – Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Nujaba ya Iraq amesema kuwa tishio lolote dhidi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, linachukuliwa kuwa ni tangazo la vita.
13:07 , 2026 Jan 21
Kuimarisha Mshikamano wa Qur’ani, Familia na Jamii katika Msikiti wa São Paulo

Kuimarisha Mshikamano wa Qur’ani, Familia na Jamii katika Msikiti wa São Paulo

IQNA – Darasa la mafunzo ya Qur’ani linaloendelea katika Kituo cha Kiislamu cha São Paulo linatoa mfano wa vitendo wa jinsi ya kuunganisha Qur’ani, familia, elimu na jamii katika mfumo mmoja ulio thabiti ndani ya mazingira ya msikiti.
12:08 , 2026 Jan 21
Picha za Kikao cha Usomaji wa Qur'ani Tukufu Katika Msikiti wa Ahvaz

Picha za Kikao cha Usomaji wa Qur'ani Tukufu Katika Msikiti wa Ahvaz

IQNA – Kikao cha usomaji wa Qurani kimefanyika katika Msikiti wa Hazrat Abulfadh (AS) mjini Ahvaz, kusini magharibi mwa Iran, tarehe 19 Januari 2026, kwa mnasaba wa Eid al-Mab’ath, siku ya kukumbuka kutumwa kwa Muhammad (SAW) kuwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu.
15:36 , 2026 Jan 20
3